Pep ni Fundi wa Mpira wakuu hilo lipo wazi.. Pia amewahi kukiri kua bahati pia imekua ikimtembelea sana,,, but tuwe na imani maana Josee nae kwa mbinu hasa game moja moja ni hatari... Ila kwa uhalisia wa consistency ya mchezaji mmoja mmoja city wapo vizuri kulko tim yeyote kwa mtazamo wangu.. Mwisho kabsa mfumo na chemistry inawabeba zaidi..