Reports that Jose could be banned for games and was sent off because he was on the pitch speaking to his players getting them in their positions for the corner......
Wakuu leo gemu kwa upande wangu tumeipiga kiume safi sana toa mkhitaryan ingiza smalling plan b inafanya kazi tupo away kwa city wanavyopenda kushambulia lazima tuwachezee uhuni kama ule mabeki wetu wajifunze kuhimili presha
Nampongeza kocha wetu kuna muda tunatakiwa kucheza mpira wa matokeo kuanzia leo natangaza ubingwa upo zile ndio alama za timu inayoshindania ubingwa ukipigwa kadude hakarudi bailly na jones + de gea walikuwa jiwe matic na fellain saf kabisa
Wakuu kama mtachukia,chukieni...Lakini Mimi binafsi naona Mata anatakiwa kuanzia benchi....Martial na Rashford wanatakiwa kuanza pamoja.
Mechi zote,akitoka Mata ndio tunapata gori nyingi.
Siku zote gem za away huwa ni ngumu pengo lipo kwa pogba hilo halijifichi pale katkat ukifanikiwa kuondoka na point 3 we kidume ila tukicheza vile old trafod lazima tumlaumu kocha.