Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Wakuu kama mtachukia,chukieni...Lakini Mimi binafsi naona Mata anatakiwa kuanzia benchi....Martial na Rashford wanatakiwa kuanza pamoja.
Mechi zote,akitoka Mata ndio tunapata gori nyingi.
Hapana mkuu, Mata ana akili na ndiye mzuri kuchezesha wengine pale mbele.Rashfold anataka achezeshwe.Wakuu kama mtachukia,chukieni...Lakini Mimi binafsi naona Mata anatakiwa kuanzia benchi....Martial na Rashford wanatakiwa kuanza pamoja.
Mechi zote,akitoka Mata ndio tunapata gori nyingi.
Ilikuwa krosi ya Young. Lukaku akapiga kichwa, golikipa akatema, Lukaku akamalizia.Assist katoa nani??
siku hazilingani......muhimu point 3Dooh game leo ngumu