Kuanzia mwez ujao wakina rojo,zlatan,shaw watakuwa kundini loooo hii timu sijui kuna kiungo maestro (Michael Carick 16) yupo bench anawaangalia madogo mwezi january mourinho anamtaka perreira arud timu inakikosi kipana sana.
Lindelof na smalling wanajiweka fiti
Wakuu sir alex ferguson saiv atakuwa na analala van gal na moyes ilikuwa roho mkononi.