Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee what a scandalous goal haya jamani Wacha wengine tuhamie kwenye Golf .... ... . Hongereni mtalala salama Manchester.
 
What a performance by MANU! IMO it is still a team to beat. Congrats to BJ & Company 🙂🙂
 
leo siku mbaya sana kwetu city fans ngoja tusubiri kwenye ligi..

tunakipiga na swansea fc on monday next week..
 
Man U Bingwa Kashinda 3-2 na mpira umeisha.....NANI noma!!!!
 
Watoto wadogo wanaendelea kujaza medali kwenye makabati mibaba mizima (Ashavin and co.) Hamna kitu. Nasri and fab should quit
 
Najua wapinzani mtasema ni preseason lakini mechi ya leo imejaa sana utamu especially baada ya kuwafunga noisy neighbours.
 
Muwe na nidhamu next tm..araaa..congs congs kwa mashetani wenzangu.
 
Alafu hawa City uwa tuna kawaida ya kuwafunga dakika za mwisho Owen 95', Scholes 90', Rooney 92', Nani 94'

Haya waungwana msimu ndio umeanza rasmi leo, tujiandae kwa miezi mingine 10 ya furaha, machungu, mshangao na kila kitu.
 
hongereni bana!!! nafikiri sasa Shekh mansoor amepata akili mpira sio pesa....
 
Hongereni Man U, nimempenda bwana mdogo ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Barbatov.
 
ILA KUMBUKENI KAMA KIPA WENU NDIYE HUYU... DAH! NAFUMBA MACHO NAMUONA GERVINHO AKIZAMISHA BAO 3

nimefurahi mmefunga 6ty!
 
City 2 United 3

New players, same old spirit. Six Alex handed four players competitive debuts at Wembley in the Reds' injury-time Community Shield victory on Sunday, but despite the fresh faces United displayed the same never-say-die attitude that has become the hallmark of the manager's modern teams.

In the space of six second-half minutes, goals from Chris Smalling and Nani turned around a two-goal deficit and seized back the momentum Manchester City had stolen at the end of the first period. Then, with the match in the fourth minute of injury time and seemingly poised for penalties, Nani charged down a Vincent Kompany clearance on the halfway line, sprinted clear, rounded Joe Hart in the City goal and slid the ball home to clinch the season's first piece of silverware.

Many had written United off by half-time after goals from Joleon Lescott and Edin Dzeko – albeit against the run of play – had given the Blues what looked to be an unassailable lead. But changes at the break, including the introduction of debutants Phil Jones and Tom Cleverley, prompted a United fightback that epitomised the strength of character Sir Alex so often speaks of.

The Reds began brightly at Wembley, barely allowing City a kick for the first five minutes and going close when Smalling volleyed goalwards amid a mini melee inside the Blues' penalty area. The young defender, usually deployed as a centre-back, enjoyed plenty of freedom down the right flank and delivered a number of dangerous crosses.
 
ILA KUMBUKENI KAMA KIPA WENU NDIYE HUYU... DAH! NAFUMBA MACHO NAMUONA GERVINHO AKIZAMISHA BAO 3

nimefurahi mmefunga 6ty!
Blunder moja kwenye mechi yake ya kwanza ndani ya Uingereza tayari ushajipa matumaini? Msimu uliopita Van Der Sar alifanya blunder ngapi?
 
Blunder moja kwenye mechi yake ya kwanza ndani ya Uingereza tayari ushajipa matumaini? Msimu uliopita Van Der Sar alifanya blunder ngapi?

Kuna watu hawatakuja kujua mpira siku zote wanaamua kwa kuangalia mechi moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…