Manchester United (Red Devils) | Special Thread


...lol,...hizi team mbili nilidhani zitatisha msimu unaoanza, kumbe mambo yenyewe haya?...
haya, 2 - 2 karamu za magoli kama kawa...Tujiandae na matokeo aina hii kwa mechi zijazo pia.
2nd half kulikoni, yangu macho na masikio...
 
welbeck kapiga bonge la pasi likakatisha kati kati ya 18 ..mafowadi wote wakachelewa kulizamisha. Dk ya 70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…