Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-09-05-17-50-34.png
 
"Biashara mbaya sana"

Kiungo wa zamani wa Chelsea Ray Wilkins amesisitiza kwamba mauzo ya Nemanja Matic kwenda Manchester United, ni " Biashara mbaya kuwahi kuiona kutoka Stamford Bridge."

Matic aliruhusiwa kuhamia United kwa Pauni Milioni 40 majira haya ya kiangazi baada ya kuwa sehemu ya kikosi kilichotwaa taji la ligi kuu ya Uingereza msimu uliopita.

Matic,29 ameanza vizuri maisha yake katika dimba la Old Trafford na Wilkins ( ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi wa Chelsea chini ya Carlo Ancelotti ) ameshangaa kuona Chelsea wamemruhusu kiungo kujiunga na wapinzani wao kwa ada ya kawaida.

Akiongelea kuhusu uhamisho huo Wilkins amesema," ni biashara mbaya kuwahi kuiona . Siwezi kuona sababu hata moja ya kufanya hivyo katika maisha yangu."

"Una mtu ambaye alikuwa muhimu sana ndani ya Chelsea katikati ya kiwanja akiwa na [N'Golo] Kante na kuisaidia Chelsea kutwaa taji halafu ghafla unamuuza kwa mmoja wa mahasimu wako wakubwa."

"Nasema sisi kwasababu na mimi ni mshabiki wa Chelsea , kwahiyo naongea kutoka moyoni kabisa."

"Yani sioni kwanini tumemruhusu Nemanja kwenda pale , alikuwa bora sana kwetu na hata sasa unaweza kuona kwa kipindi hiki kifupi amemuwezesha [Paul] Pogba kwenda mbele na kufanya chochote anachokitaka ."

"Kiukweli sikuifikiria biashara kama hii hata kidogo."
 
Uyo ameongea tu kwa mtazamo wake ...hakuna effect yeyote kubwa itakayotokea kwenye kikosi cha Chelsea kwa sababu ya kuondoka kwa matic ..hata mimi nakiri ni kosa kubwa bodi ya Chelsea imefanya, lakini pengo lake limepata jino tiyari.

Najua utapenda tu

Sent using Jamii Forums mobile app

We jamaa muoga sna ungetuliza akili kidogo walau ungepata point kidogo jamaa kaongelea biashara hakuna mahali kasema chelsea wanapata effect wala sijui wamepata jino hayo ya kwako
 
Manchester United's executive-vice chairman Ed Woodward has been appointed onto UEFA's Professional Football Strategy Council, following changes to the committee and leadership of the European Club Association.

The position sees Mr Woodward placed as one of four senior executives in the role, who will advise and assist in the structure of European football's governing body, while he continues with his daily duties and position at Manchester United.
 
Manchester United's executive-vice chairman Ed Woodward has been appointed onto UEFA's Professional Football Strategy Council, following changes to the committee and leadership of the European Club Association.

The position sees Mr Woodward placed as one of four

Moja ya ma CEO nawakubali sana...uyo jamaa anatusaidia sana Man U kwenye swala la biashara...ilikua ni kazi sana kupata mafanikio nje ya uwanja , wakati ambapo timu inacheza vibaya.

Ukija kwenye Brokers aka Agent , the Wakala namkubali sana Mino Riola...jamaaa anajua sana kutega mitego ya kupiga pesa.
 
Sir Alex Ferguson alishawahi kusema moja katika ulimwengu wa kabumbu anawaogopa na anawachukia mawakala wawili tu na mmoja wao ni Mino Raiola. Mino alishawahi kumwambia babu ferg kwamba hata kama yeye “ferg" ni kocha mzuri na mkubwa duniani ila huwa anafanya makosa ya kimakusudi sana na Mino akapigilia msumali kwamba kosa la pekee kabisa alilolifanya Sir Alex Ferguson ni kushindwa kutabiri ni kwa jinsi gani Pogba atakuja kuigharimu manchester united. Mino Raiola ndo mtu anayeupoteza umaarufu wa George Mendes siku za karibuni jamaa anapiga dili sana miaka ya karibuni. Ninachomkubali Mino Raiola huwa hakwepeshi maneno rejea kauli yake kuhusu uchaguzi wa fifa. Huwa namwita mr. Money Mino raiola

“I’ll find five FAs to back me. It’s incomprehensible that some FAs still vote for Blatter. If people vote Blatter, they are voting North Korea, if they vote me, they are voting South Korea.”

#GGMU#
 
Jamaa anajua sana kusaka vijana wenye vipaji na kuwaweka kwenye list ya wachezaji anaowasimamia.
 
KANUNI ZA UEFA KUHUSU ORODHA ‘A’ & ‘B’ ZA WACHEZAJI.

Vilabu vinavyoshiriki mashindano ya UEFA lazima viwasilishe majina ya Orodha ‘A’ kwa shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA).

Orodha A ya wachezaji inatafsiriwa kama ifuatavyo : Idadi ya wachezaji 25 , kati yao wawili lazima wawe Magolikipa . Na pia lazima kuwe na idadi ya wachezaji Nane ( 8 ) ambao ni kwa ajili ya wachezaji wazawa ambao wamenolewa klabuni hapo hapo. Na kama klabu itashindwa kufikisha wachezaji ( 8 ) wazawa basi UEFA itawapunguzia mchezaji mmoja kwenye idadi hiyo ya wachezaji 25 na kuwa 24.

Hatua nyingine vilabu vinaweza kutumia idadi yoyote ile ya wachezaji kutoka orodha ‘B’

Orodha ‘B’ tafsiri yake kama ifuatavyo : Wachezaji wote waliozaliwa tarehe 1, Januari ya 1996 au zaidi ya mwaka huo na kucheza katika hiyo klabu kwa miaka miwili mfululizo bila kuhama hata kwa mkopo. Klabu inaweza kutumia wachezaji wa idadi yoyote ile kutoka orodha ‘B’.

NB: Wadau wa Soka ambao wengi tulikuwa tunataka kufahamu kwanini Marcus Rashford hakujumuishwa katika kikosi cha Manchester United cha wachezaji 25 wa UEFA orodha ‘A’ ni kwa sababu yeye anaingia kwenye kwenye orodha ‘B’ kutokana na umri wake kuzaliwa Januari Mosi ya mwaka 1996 na kuendelea mbele.
 
Moja ya ma CEO nawakubali sana...uyo jamaa anatusaidia sana Man U kwenye swala la biashara...ilikua ni kazi sana kupata mafanikio nje ya uwanja , wakati ambapo timu inacheza vibaya.

Ukija kwenye Brokers aka Agent , the Wakala namkubali sana Mino Riola...jamaaa anajua sana kutega mitego ya kupiga pesa.
Huyo jamaaa ni Fundi mno kwenye david gill alikua Fundi mno kwenye usajili

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Manchester United manager Jose Mourinho has had a fresh pop at Chelsea rival Antonio Conte.

Mourinho won the title in the 2014-15 season before being sacked seven months later with his side stuck in mid-table.

Speaking to The Times, Mourinho said: “For me, let's be honest and objective.

“The last three Premier League champions — Chelsea with Mourinho, Leicester with [Claudio] Ranieri, Chelsea with [Antonio] Conte — which of these teams was the most offensive one? Which played more quality football?

“It was mine. But nobody says."
 
Hahahahaaaa Kama itatokezea mwanamama coleen rooney ataachana na mumewe basi wanapaswa kugawana mali sawa kwa sawa na wayne rooney, hivyo basi coleen atakuwa na medali 3 za ligi kuu ya uingereza nyumbani kwake ambazo ni sawa na medali alizozipata arsene wenger kwa miaka 20 akiwa arsenal
 
Back
Top Bottom