Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Just for the sake of EPL RECORDS.

Most wins in a season 30, Chelsea ( 2016–17 )

Most away wins in a season (19 games)
Chelsea (2004–05 )

Most consecutive home games undefeated: Chelsea (20 March 2004 – 26 October 2008)

Most goals scored in a season: 103, Chelsea ( 2009–10 )

Fewest goals conceded in a season: 15, Chelsea ( 2004–05 )

Yes, few more records won't damage your brain
Asilimia kubwa ya hizo rekodi zimewekwa na "Juda " ambaye now ndio kocha wa Manchester United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.
2012 sio history? Man utd ilifika robo cl under Moyes I think...2014
 
mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.

2015/16 Man City wamefika Semi final na kutolewa na Real Madrid. Mnapenda sifa nyie, mngekuwa na record kama ya United sijui ingekuwaje
Nilisahau, Man United pia alifika Quarter final 2014, au mashindano gani unazungumzia wewe
 
We ni shabiki wa chelsea ee? If yes basi sina haja ya kushangaa.

Moyes alishatufikisha robo fainali

Slippy Gerald, you served football.

i mistaken nilikusudia kusema semi-final.
 
i mistaken purposely semi-final.
Haya man city kafika semi final 2016...yaani kupata ecl trophy moja unataka kujidai mbeba bendera wa EPL kwenye ECL! Kombe moja la CL tumewafanya njia nyinyi au umesahau?
 
Haya man city kafika semi final 2016...yaani kupata ecl trophy moja unataka kujidai mbeba bendera wa EPL kwenye ECL! Kombe moja la CL tumewafanya njia nyinyi au umesahau?

kiongozi, man city ipi imefika semi-final last year?????? ilimtoa nani kufika hapo?????
maybe nimesahau si unajua uzee ushapiga hodi.
 
Man city 2015/16 kafika Semi final. Najua utamalizia na Final, hapo hakuna msema ukweli mpenz wa Mungu.

mkuu narudi nnayeipa heshima epl uefa, mimi naenda kuchukua kama kawaida yangu, hutaki andamana.
 
kiongozi, man city ipi imefika semi-final last year?????? ilimtoa nani kufika hapo?????
maybe nimesahau si unajua uzee ushapiga hodi.
2015/16 alitolewa na Real Madrid
 
Attachments

  • Screenshot_2017-09-01-23-04-06.png
    Screenshot_2017-09-01-23-04-06.png
    33.7 KB · Views: 35
Kumtaka mchezaj haimaanishi kuwa ni mzuri ...kuna sababu nyingine zaidi. ..

Mfano barkley na ox walitakiwa ili kuongeza wachezaji wa kiingereza ..halafu hawakuwa mpngo wa kocha, ni mpango wa emenalo na bodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unapenda sana kujisemea semea tu...sheria inasemaje kuhusu timu kuwa na wachezaji ambao wamekulia kiingereza ...?
 
mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.
Hivi mwaka ule Moyes na Manchester United yake anatolewa na Bayern Munchen haikuwa robo fainali?
 
mkuu mimi heshima yangu ni kurudisha hadhi ya epl uefa.
tokea nichukue uefa 2012 hakuna team ya epl yoyote iliyofanikiwa hata kufika robo fainali.
history mwachie liver.

Kaangalie ni wapi Man City aliishia msimu uliopita.
 
Kumtaka mchezaj haimaanishi kuwa ni mzuri ...kuna sababu nyingine zaidi. ..

Mfano barkley na ox walitakiwa ili kuongeza wachezaji wa kiingereza ..halafu hawakuwa mpngo wa kocha, ni mpango wa emenalo na bodi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo academy zenu zinazalisha nini mpaka ukatafute wachezaji wakuongezea kutoka nje? Halafu wanaongezewa ni "home grown" sio wachezaji wakiingereza tu.
 
Back
Top Bottom