Daah nilikua sijamwona vizuri huyu dogo!! anaitwa Dembele!!
Ivi Mou alipokua anakomaa na yule perisic na akina bale alikua anawaza nini?? yaan dogo anakimbiza, ana attack ana assist alafu mou akaenda komaa na wazee na kumuacha dogo achukuliwe na barca daaaah!!!
Nadhani ungempata huyu hakyanani ulaya ingetukoma!!!
Dogo ana miaka 20 tu!!