messi pia kakosa leo...Hongereni kwa ushindi wekundu naona mpo on fireeee.
Likakuu Leo kakosa penati wala siyo habari ya mjini.....Morata au Lacazzete wangekosa ingekuwa habari ya mjini....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaSasa jee
Nimejikuta navutiwa kuona mechi za PSG..Leo simshangai sana lukaku coz Messi nae kazingua kwenye penalty
Kesho ni Liverpool vs Stand United 😀😀😀😀
Noma sana mzeebabawatupe kombe letu mapema kabisa..au mnaonaje wananzengo wenzangu!!!...tuko on fireee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni kwa ushindi wekundu naona mpo on fireeee.
Likakuu Leo kakosa penati wala siyo habari ya mjini.....Morata au Lacazzete wangekosa ingekuwa habari ya mjini....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ulibana nn tena mrembo..mambo ya kubana tuachie sisi..[emoji23][emoji23]Daaah nilibana ..... Tusifungwe Nafurahi kwamba sikubana bure.
Stand United mmeanza kuongea...zungumzieni kesho itakuwaje anfield.Hongereni kwa ushindi wekundu naona mpo on fireeee.
Likakuu Leo kakosa penati wala siyo habari ya mjini.....Morata au Lacazzete wangekosa ingekuwa habari ya mjini....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam beki za leister zilikua busy kwa lukaku.Penati hazina mwenyewe leo hakuwa na bahat uwepo wake ulitosha kuifanya beki line ya leicester city kupanda.
Hongereni kwa ushindi wekundu naona mpo on fireeee.
Likakuu Leo kakosa penati wala siyo habari ya mjini.....Morata au Lacazzete wangekosa ingekuwa habari ya mjini....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
You made it....back home with tails between your legs!
Mbupu...ha ha
Hahaha Leo zamu yangu bhaanaulibana nn tena mrembo..mambo ya kubana tuachie sisi..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app