Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nasubiria hilo group la whatsapp ila sharti member wa humu tuwepo wote ili family yetu isipotee. 0716561026

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nikuuzie wazo

Anzisha wewe kisha tupatie mualiko kwa wale watakaokuwa tayari watakupa no zao PM vinginevyo ndugu yangu itakua ni uongo TZ kila MTU anasubiri mwingine aanze

Lada kama kunakundi tayari tuambiane
 
Yani Pogba kawa kama Baloteli.
 
Acha nikuuzie wazo

Anzisha wewe kisha tupatie mualiko kwa wale watakaokuwa tayari watakupa no zao PM vinginevyo ndugu yangu itakua ni uongo TZ kila MTU anasubiri mwingine aanze

Lada kama kunakundi tayari tuambiane
ok acha niunge nitawatumia link.
kuwa na group huko haina maana kuwa hapa Pata kufa lahasha. lengo ni kuwa update on time sio wote wapo sharp kuingia jf hata mb zinazotumika hapa ni tofauti na whatsapp .... humu tutaendelea kuwepo na kupa heshimu kama jukwaa mama. Nina group zaidi nane huko zote chimbuko ni humu humu jf (siasa intelligence magari bold n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stop that Racial Status Quo

Hivi Hayo maswali wangejiuliza wazungu ingekuwaje... Moja ya Njia Walizofanikiwa wazungu kwenye issue ya ubaguzi wa rangi ni wao kuweza kutuaminisha kuwa tunabaguliwa kirangi

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Zidane ni mzungu?
Makelele?
Hendry?
Walibeba Ndoo Ufaransa?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann unajichosha kumjibu shabiki wa asinoo au Chelsea? Mashabiki wa asinoo akili zao zipo kwa Wenger wanaendeshwa kama maroboti bila remote control hayaendi.

Mashabiki wa chelsea ni sawa na kubwa jinga linaloishi kwa dada ake, kila kitu anaamua shemeji. (Abrohmovic) hapo hata umuambie dada ako usiku anaumia ili wewe ule hawezi kukuelewa.

Yes am cunt, next question?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…