Mkuu@Feranga Rashford did his work at best level,kazi yake kubwa ni kuchochea mashambulizi na kumrahisishia au kumpunguzia kasi Lukaku.huu moto uendelee..sema rashford na mikhi kama kuna uselfish flani kwa mbali,mou awakemee..martial ni mchezaji mzuri sema anatakiwa aeshimike..
Sent using Jamii Forums mobile app
kesho ni mwendo wa 4-3-3Kesho mapeeema.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umetia chumvi....alikuwa akimuambia refa westham wanapoteza muda na hawakemei.Naona mabadiliko ya kiufundi kwa Mou now anaiona Man United ni timu ya pili nyuma ya Real Madrid duniani na anataka kupambana na o msimu huu.
Baada ya Dakika 15 ya mchezo na West ham nilimuona akisimama na kuwaonyesha saa wachezaji wake,Pogba,Rashford na Mikh kwa nini timu haikupata goli ndani ya dakika 15.
Game plan ilikuwa ni kupata goli ndani ya dakika 15 za mwanzo.
Na walichotakiwa kufanya Rashford,Pogba na Mikh ni kumlisha Lukaku kadri inavyowezekana ili ashinde.
Mou hana shida na Goal score mashine yake LukaGoal ni kumpelekea mipira pale mbele.
Ila Lukaku ni Simba aisee ndani ya uwanja,anapambana kweli kweli.
Nimefurahishwa na Rashford kweli ana njaa huu msimu.
"we are On fire"
Sent using Jamii Forums mobile app
kesho ni mwendo wa 4-3-3
4-2-3-1
Umeongea kimpira sana, that is true lakini kwa timu zinazoshambulia naiona nafasi ya Herera....Nilichogundua mimi kwa mechi nyingi za nyumbani tukiwa tunacheza team za kawaida nahisi Mourinho atakuwa anaweka 2midfiled...Matic na Pogba..ila kwa mechi za away itakuwa 3 midfiled...Matic ,Herrera and Pogba.
uko sahihi ila jose ni mwanadamu mmoja wa ajabu sana linapokuja suala la mechi ya ugenini au mechi moja ya kutafuta bingwa, namuona herrera akianza pamoja na darmian.4-2-3-1
Hahahahaha the man is unpredictableuko sahihi ila jose ni mwanadamu mmoja wa ajabu sana linapokuja suala la mechi ya ugenini au mechi moja ya kutafuta bingwa, namuona herrera akianza pamoja na darmian.
mkuu kama ile mechi ya madrid ingelichezwa old trafford basi lingard hata benchi asingekuwepo.Hahahahaha the man is unpredictable
Kwakwel lingard huwa ni mpambanaji uwanjani na sio rahisi kukata tamaa na mou anapenda wachezaji wa kaliba yake ndio maana kwenye mechi nyingi ambazo wapinzani ni mafundi hasa middle lingard huwa anaanzishwa maana dogo ni fighter na anapambana Ku impress, ko huwez shangaa lingard akaanza mechi ambazo haukutegemeamkuu kama ile mechi ya madrid ingelichezwa old trafford basi lingard hata benchi asingekuwepo.
Hahaha hii ilikua ni charity match, ikijumuisha wachezaji legends na celebrities. So it was just fun.Kwakwel sijui maana ni clip fupi ndo imeoneshwa
Kocha wetu ni shida
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mou ni tabu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaa Mou ni chizi. hivi alipewa card ama ilikuwaje???
ni kweli ila lingard mpira wake unatabirika na ndio maana mashabiki wanapendezwa zaidi pindi anapoanza martial au mataKwakwel lingard huwa ni mpambanaji uwanjani na sio rahisi kukata tamaa na mou anapenda wachezaji wa kaliba yake ndio maana kwenye mechi nyingi ambazo wapinzani ni mafundi hasa middle lingard huwa anaanzishwa maana dogo ni fighter na anapambana Ku impress, ko huwez shangaa lingard akaanza mechi ambazo haukutegemea
Uko sahihi kabisa kuna mechi lingard huwa anapoteana mpaka anakera lakini dogo hakati tamaani kweli ila lingard mpira wake unatabirika na ndio maana mashabiki wanapendezwa zaidi pindi anapoanza martial au mata
IYO MECHI YA LINI WAKUU NAKINA NANI AO WANACHEZAhahahahaa Mou ni chizi. hivi alipewa card ama ilikuwaje???
hahahahahaaaa mimi nilikuwa nawaogopa chelsea kwenye champions league pindi ule muziki wa we are the champions unapoimbwa. unakuta mstarini amesimama essien, ballack, obi, lampard anajiramba ulimi, drogba, makelele halafu cha kuchekesha timu pinzani inaundwa na wachezaji wenye miili dhaifu kama park, ronaldo, brown.Mkuu umenikumbusha game ya Europa wachezaji wanapasha misuli Martial akaumia, huku na kule mara Paaah kinda hili hapa limeitwa kikosini kijana Rashford aliyezaliwa mnamo1997 kwa mara Ya kwanza namuona huyu kijana sikuamini uwezo aliokuwa nao game ya kwanza akatupia goli nikajisemea mwenyewe atakuwa kabahatisha lakini alivyokuja kuwapiga Arsenal goli 2 hakika nilianza kumuamini kijana na Yaliyofwata baada ya hapo ni histori
Hererra atakuwa wa kazi maalumWakuu kuna kitu nakiona hapa..sijui kwa mitazamo yenu ila mimi naona MATIC ni THREAT kwa HERRERA.. kwa sababu anaperform vizur sana na amefit kumfanya pogba afunguke kitu ambacho Ander Herrera alishindwa..alafu pale katikati hakuna wakumpiga benchi POGBA ss naona MATIC,HERRERA na FELLAIN wanagombea namba moja na winner ni definitely MATIC. Au mnaonaje wakuu!! GGMU!! GGMU!!
Sent using Jamii Forums mobile app