DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Weekend hii safi sana Arsenal kashinda kimungumungu, Liverpool kabahatisha kupata sare, Chelsea kachezea za uso nyumbani kwake, timu kubwa na bora Manchester United imetoa onyo kwa timu zote za Premier League
Kila timu ipambane na hali yake tuu maana hamna jinsi
Kila timu ipambane na hali yake tuu maana hamna jinsi

