Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mmecheza vizuri sana leo nitoe hongera kwa Chelsea kukosea kucheza karata yake na kuwauzia Matic lakini msijipime kupitia game ya leo kuna kitu kinaitwa consistency je mtaweza!?

Nimeongea hivyo simply because so far mpaka sasa kama yupo mwanasport wa kweli na si mnazi ataelewa

Pogba bado sana sikatai amefunga goli ndio lakini bado mnoo mpaka leo nimekua mgumu kumuelewa huyu jamaa anampila wa kitoto nasema kama angekua sio matic pogba msingeona alilofanya kazi ya matic ni kubwa kuliko huyu bank mwenyewe

All in all hongereni kwa matokeo mazuri looking foward to see your good perfomence game zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuona mpirawa Pogba mpe freedom uwanjani. Akiwa juve aliwika kwasababu alikua na pirlo kama holding midfield alipokuja man u hapakua na holding mzuri hasa ukizingatia carick umri umetupa mkono!!

Leo umeweza kumuona Pogba kwasababu tuna matic, kitu kilichofanya pobga awe free!!

Tutarije mengi kutoka kwake msimu huu!!!
 

Mkuu upo sahihi kabisa, nimemuangalia vizuri Pogba, anampira mzuri sana lakini sio wa ushindi. Kuna nafasi kadhaa amekuwa akichelewesha sana kupeleka mipira panapohitajika kwa haraka kwa sababu anataka kupiga chenga or kunyanyua jukwaa.

Ila nakumbuka hata Christiano Ronaldo alianza hivi hivi. Ngoja tumpe muda. Otherwise ni mchezaji mzuri sana kama atakuwa fast and focused.
 
Ni kweli sikatai lakini unamtazama pogba kimapenzi pengine nikubaliane na wewe uko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nilijua tu lazima mumuongelee Pogba, ndio kimvuli chenu icho. Na leo kawakomesha, piga mpira wakutosha ka-create 2 big chances, kapiga pasi za kutosha na kafunga.
Na ataendelea kuwafunga midomo nyie mnaetegema kuchambua soka kwa kutumia mgongo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…