Wamekusikia wametekelezaWe need two more goals
Uzuri leo mtapigia mayowe humu kwenu kwa hiyo majirani watapona na ile amsha amsha yako and Co limited
Nawa tag huku huku hahahaUzuri leo mtapigia mayowe humu kwenu kwa hiyo majirani watapona na ile amsha amsha yako and Co limited
Wamejificha ila nitaenda kuwatafuta walipoWapi haters!!!!!! We are United we mean business hahaaaaaaaaaaa
AmeenMark my words Tumeshakaa pale juu kutoka ni mpka wakiwa wanapanga team za msimu ujao before league haijaanza
Sio maneno safarii mtatembelea kucha.Mmeshaanza maneno kama kawaida yenu!!!!
Tafuta demu umpige vinne usindikize ushindi. Hongereni mashetani.Ningekuwa na mke leo ningempa 4 za nguvu
Huyu nemanja matic mzitoMan of the match kwangu mimi leo ni Matic
kweli maneno lazima kushinda 4 sio masihara.Maneno lzm mkuu