D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Umeanza vizur ukamalizia na pumba.. matic n kiungo mzito sana.... kama hujui... yupo slow.. na anachoka haraka especially second half... team ikiwa inashambuliwa matic huwa anapotea.. kama ulimfuatilia vizur Chelsea ngolo kante aliteseka sana pind akicheza na matic.. I stand to be corrected...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekubali matic n mzito..? Nataka tuanzie hapaAhsante sana kwa maoni yako na natumai yanatoka kwenye kiwiliwili kilicho hai.unasema ya kwamba kante alipata tabu sana alipocheza na matic lakini umesahau ya kwamba matic alianza mechi 30 za ligi kuu.
Ni kweli matic ni mzito ila naomba unitajie mchezaji mmoja mwenye urefu wa futi 6 kama matic halafu awe anatumia mguu wa kushoto na mwenye mbio kama giggs.
Una confirm kuwa Matic mzito !Ahsante sana kwa maoni yako na natumai yanatoka kwenye kiwiliwili kilicho hai.unasema ya kwamba kante alipata tabu sana alipocheza na matic lakini umesahau ya kwamba matic alianza mechi 30 za ligi kuu.
Ni kweli matic ni mzito ila naomba unitajie mchezaji mmoja mwenye urefu wa futi 6 kama matic halafu awe anatumia mguu wa kushoto na mwenye mbio kama giggs.
Unaposema mzito unamaanisha nini?..kwamba aliisababishia Chelsea iwe inapwaya kwenye kiungo?..au..kwamba kwa kipindi alichocheza chelsea hakuisaidia timu?.. Unataka awe na mbio kama kipepe au?....embu funguka kwanzaUna confirm kuwa Matic mzito !
Matic amechezea Chelsea misimu 4 uchezaji wake unafahamika.Matic ndio mchezaji ambaye anafit kwenye mfumo wa Mourinho na kama uliangalia game against Real Madrid Matic ndio alikuwa the best Manchester United player on the pitch
kumekucha.
kwakweli maisha yanaendelea.
Mnataka "kula" hamtaki "kuliwa" ...pambaneni na hali zenuKwingineko inasemekana Real Madrid ipo tayari kutuuzia Gareth Bale kwa sharti moja tu
Mkuu vipi umepotea njia?View attachment 563286
The French FA confirm the receipt of the International Transfer Certificate of Neymar
The French FA confirm the receipt of the International Transfer Certificate of Neymar sent by the Spanish Federation.
The 25-year-old made a world-record €222 million move from Barcelona to PSG last week but was unable to play because final details of his registration had not been completed.
So long as the document has been verified by the French FA (FFF) and League (LFP) by midnight on Saturday, which should prove a formality, Neymar will be able to feature in Brittany the following day.
He was in the spotlight on Friday as he participated in his first PSG training session open to the media since making his huge move, and it is anticipated that he will go straight into Unai Emery's starting XI at a ground where PSG have won only one of their previous five visits.
Oh sorry. !!Mkuu vipi umepotea njia?