D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
hahahahahaaaaa naona hii thread leo imekuwa ya real madrid,mpaka matangazo ya vifaa vya michezo vya real vinatangazwa humu#To all Haters leo Leo tunavunja tanga kwahiyo tukimaliza mazishi msionekane tena humu tutakuwa na tanga ndugu tujadili mambo yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungewafunga ungesema tumeotea au cr7 hakucheza!! Hamkosi sababu!!Hii Mechi ya Real Madrid vs Man U
Imeonyesha tofauti ya Club na KILABU tofauti ya Kocha (ZIDANE)na Msimamizi wa Mazoezi (MOURINHO)
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau ni yeye ndio alipiga MUWA Kigamboni Mpaka Chakinze Europa Final... Manchester Vs AjaxSawa ila jamaa hana consistency kabisa. Yaan kuwepo kwake kwenye games nyingi anaonekana hana madhara. Kwa EPL sawa maana timu nyingi kama uwezo ziko sawa. Ndomaana inafika wakati huwezi tabiri nani anashinda. Ila timu tuitoe nje kukutana na timu kama Madrid, Barca, Bayern, Juve, PSG huwezi muona Pogba. Ujue Pogba is very worth. Anatakiwa piga mpira wa thaman yake. Umri alionao ndoanatakiwa kuwa on fire sasa.
Umesahau ni yeye ndio alipiga MUWA Kigamboni Mpaka Chakinze Europa Final... Manchester Vs Ajax
Hahahaha Le PogDance
Sent From My Nokia Ya Tochi
mkuu tatzo co herrera ila mou formation ya kisenge alipaki bus jamaa walikuwa wanakuja mda wote !Mimi ni shabiki kindakiNdaki wa team Hili ..
Mchezaji alietuangusha Jana ni Herrera alishindwa kabisa Kudhibiti nyendo za ISCO...
All in all we played very good in the second half of the game
GGMU
Sent From My Nokia Ya Tochi
Kwema humu..salama salimini.
Jamani ndugu zangu kwema humu ndani?
Kwema humu..salama salimini.
Vipi wataka kugawa soda...?
Uwe unaleta na matokeo ya Mechi husika kabisa
Hehehe naona ndugu umekuja kwa Shari.
Anhaaa basi Amani sana, poleni kwa mkasa wa Jana wajameni......next time muwe mnawauliza [HASHTAG]#thecatalans[/HASHTAG] jinsi ya kuwafunga [HASHTAG]#galacticos[/HASHTAG]....Ila all in all POGBA ni mtumishi hewa

Hilo Nalo Ni Swali Nimbutue Chelsea Huyo Nae
Mimi ni shabiki kindakiNdaki wa team Hili ..
Mchezaji alietuangusha Jana ni Herrera alishindwa kabisa Kudhibiti nyendo za ISCO...
All in all we played very good in the second half of the game
GGMU
Sent From My Nokia Ya Tochi
Ww nawe hujui hata kuchekesha*Mourinho kweli hakosi sababu akifungwa*
Ety anasema timu yake jana haiku Concentrate na super cup mawazo yote yalikua uchaguz wa Kenya
Anhaaa basi Amani sana, poleni kwa mkasa wa Jana wajameni......next time muwe mnawauliza [HASHTAG]#thecatalans[/HASHTAG] jinsi ya kuwafunga [HASHTAG]#galacticos[/HASHTAG]....Ila all in all POGBA ni mtumishi hewa
Sijui unaandika vinini au shule tatzoUnaweza Ukawa Ndo Mwisho Wa Herrera Wengi Watabisha Majukumu Yake Kayachukua Matic Kumrudisha Tena Kwenye Hali Yake Kocha Aache Kupak Bas Jamaa Akawa Hana Mtu Wa Kumdandia Huyu Anacheza Vizur Akiwa Na Mata Pogba Apishane Na Herrera Tu Mata Sio Wa Kukaa Bench Huyu Kama Isco Tu