HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
GLORY GLORY MANCHESTER UNITED....
Let's start our season with a trophy.
Wakuu nimewahi hili kombe tunalolichukua Leo litakaaa kwangu wiki.
Niji selfie nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mshabiki wa Arsenal lakini kisport Nina machache ya kusema kuhusu game ya Jana
Nimeona kuna watu wanalalamika sana kuhusu lingard kupata fursa over Martial,jibu ni jepesi tu aina ya uchezaji wa lingard Hata angekua Madrid angepata namba simply because he always deliver na anaonekana kutoridhika at all hao ndio wachezaji aliokua akiwatumia Hata mzee Ferguson Kua muda wote anahisi hayuko perfect so he has to pull up to deliver ili yeye asiwe chanzo cha lawama.
Watoto wengi wa juzi watamsifu Sana pogba lakini wale Man Utd of all time watanielewa hapa kuhusu Huyu Pogba Kua anaikost timu Sana simply because hanyumbuliki, karick ni mzuri lakini Matic ni mzuri zaidi Matic anauwezo mkubwa Sana kwenye kuleta matokeo kuliko karick Matic anapeleka mpila Sehemu usika naweza Sema timu Kama Manchester wapenda matokea Matic mmelamba dume lakini Bado Niko Na Pogba tatizo kubwa alilo nalo pogba anapoza mashambuliz Kwa kukaa na mipila pasipo maamuzi ya haraka ndio anafanya marking lakini Sio kwa ubora huo ndio maana at the end wasio elewa Wanaangalia watu Kama kina Fellaini ila believe me bora umchezeshe Fellaini over Pogba sababu anamaamuzi atakufanyia marking na defensive utacheza kwa amani. mourinho alipatia kumchezesha Rashfod na Fellaini aliesubir mipila mirefu lakini Kama alitaka matokeo ya uhakika Kwanini alimuacha Mata nje akamtoa mtu kama Herrera wakati LIMZIGO lipo linazunguka muda wote (Pogba) pale ni Fellaini Rashfod Mata while una Matic kunashida gani hapo pogba nje herrera atapokezana na Fellaini Mata anafanya kazi aliyowafanyia Isco Rashfod anapiga mipila mirefu imkute Lukaku Fellaini duara Matic anapiga pasi za maangamizi
Lakini kitacho mkost mourinho ni ubinafsi wake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe ni mwanamichezo naungana naww Mou atatucost kwa kulazimisha mchezaji huyo huyo achezeMimi ni mshabiki wa Arsenal lakini kisport Nina machache ya kusema kuhusu game ya Jana
Nimeona kuna watu wanalalamika sana kuhusu lingard kupata fursa over Martial,jibu ni jepesi tu aina ya uchezaji wa lingard Hata angekua Madrid angepata namba simply because he always deliver na anaonekana kutoridhika at all hao ndio wachezaji aliokua akiwatumia Hata mzee Ferguson Kua muda wote anahisi hayuko perfect so he has to pull up to deliver ili yeye asiwe chanzo cha lawama.
Watoto wengi wa juzi watamsifu Sana pogba lakini wale Man Utd of all time watanielewa hapa kuhusu Huyu Pogba Kua anaikost timu Sana simply because hanyumbuliki, karick ni mzuri lakini Matic ni mzuri zaidi Matic anauwezo mkubwa Sana kwenye kuleta matokeo kuliko karick Matic anapeleka mpila Sehemu usika naweza Sema timu Kama Manchester wapenda matokea Matic mmelamba dume lakini Bado Niko Na Pogba tatizo kubwa alilo nalo pogba anapoza mashambuliz Kwa kukaa na mipila pasipo maamuzi ya haraka ndio anafanya marking lakini Sio kwa ubora huo ndio maana at the end wasio elewa Wanaangalia watu Kama kina Fellaini ila believe me bora umchezeshe Fellaini over Pogba sababu anamaamuzi atakufanyia marking na defensive utacheza kwa amani. mourinho alipatia kumchezesha Rashfod na Fellaini aliesubir mipila mirefu lakini Kama alitaka matokeo ya uhakika Kwanini alimuacha Mata nje akamtoa mtu kama Herrera wakati LIMZIGO lipo linazunguka muda wote (Pogba) pale ni Fellaini Rashfod Mata while una Matic kunashida gani hapo pogba nje herrera atapokezana na Fellaini Mata anafanya kazi aliyowafanyia Isco Rashfod anapiga mipila mirefu imkute Lukaku Fellaini duara Matic anapiga pasi za maangamizi
Lakini kitacho mkost mourinho ni ubinafsi wake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushushe munkari!!Mimi ni mshabiki wa Arsenal lakini kisport Nina machache ya kusema kuhusu game ya Jana

Sisi mabingwa wa EPL.wa sasa na wa baadae.kombe asipochukua chelsea anachukua NEWCASTLE UNITED.timu yangu ya utotoni.
Msipo muuza pogba makombe mtaishia kuyaangalia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
.mnatafuta sababu.
alaf huyo matic ni gari la mkaa.
Trip moja shamba ya pili gereji.
Sent using Jamii Forums mobile app
*Commentator:* "Real Madrid look like a team and Manchester Utd look like a work in progress."
Sister hizi kauli za kujipa moyo. Anyways hongereni
Kwa beki hii tukikutana na Arsenal laccazete ataupia nyingi aisee...
Mimi ni mshabiki wa Arsenal lakini kisport Nina machache ya kusema kuhusu game ya Jana
Nimeona kuna watu wanalalamika sana kuhusu lingard kupata fursa over Martial,jibu ni jepesi tu aina ya uchezaji wa lingard Hata angekua Madrid angepata namba simply because he always deliver na anaonekana kutoridhika at all hao ndio wachezaji aliokua akiwatumia Hata mzee Ferguson Kua muda wote anahisi hayuko perfect so he has to pull up to deliver ili yeye asiwe chanzo cha lawama.
Watoto wengi wa juzi watamsifu Sana pogba lakini wale Man Utd of all time watanielewa hapa kuhusu Huyu Pogba Kua anaikost timu Sana simply because hanyumbuliki, karick ni mzuri lakini Matic ni mzuri zaidi Matic anauwezo mkubwa Sana kwenye kuleta matokeo kuliko karick Matic anapeleka mpila Sehemu usika naweza Sema timu Kama Manchester wapenda matokea Matic mmelamba dume lakini Bado Niko Na Pogba tatizo kubwa alilo nalo pogba anapoza mashambuliz Kwa kukaa na mipila pasipo maamuzi ya haraka ndio anafanya marking lakini Sio kwa ubora huo ndio maana at the end wasio elewa Wanaangalia watu Kama kina Fellaini ila believe me bora umchezeshe Fellaini over Pogba sababu anamaamuzi atakufanyia marking na defensive utacheza kwa amani. mourinho alipatia kumchezesha Rashfod na Fellaini aliesubir mipila mirefu lakini Kama alitaka matokeo ya uhakika Kwanini alimuacha Mata nje akamtoa mtu kama Herrera wakati LIMZIGO lipo linazunguka muda wote (Pogba) pale ni Fellaini Rashfod Mata while una Matic kunashida gani hapo pogba nje herrera atapokezana na Fellaini Mata anafanya kazi aliyowafanyia Isco Rashfod anapiga mipila mirefu imkute Lukaku Fellaini duara Matic anapiga pasi za maangamizi
Lakini kitacho mkost mourinho ni ubinafsi wake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokiona na mimi huwa naona hivohivo. Lakini Mou sijui anaamini nini kutoka kwa Pogba?! Ndomaana jana ile Halftime niliomba Big Fella aingie. Fella watu hawamjui tuu ila anapoga mashambulizi hafu ndani ya 18 unamkuta kwenye angle za magori. Yaani ukiutupa mpira mrefu unamkuta Fella kafika. Pogba anataka kuonesha kuwa wa thamani while not this time. Mata! Mata sio wa kukaa nje kwa game ya wakimbiaji kama ile. Mtoto ana akili sana yule. Ila ata beki yetu ile Lindelof mmmmh. Unajua nammiss sana Rio Ferd. Jamaa alikuwa anapanga mabeki wake all times. Alikuwa na uwezo wa kupanda na mpira hadi kati na kutoa pande watu waende. He was a leader. Smilling anakaza ila nae namna ya kupangana na wenzie ndo shida. Thanks Van Gaal aliweza kuwatumia saana Jones na Smilling na walionekana wanaelewana. Jamaa kawaaribu kabisa. Kila mara beki zinakuja mpya na wao wapo wanakosa amani. Kiufupi Mou anatakiwa aamini kikosi chake Rashford, Martial, Mata, A Pereira, Darmian na Smalling bila imani hatuendi. Ila tuko vizuri bila shaka game ya kwanza EPL tutaua mtuu.
Najua mnamuogopa Pogba sana kama jinsi Ccm wanavyomuogopa Lissu. Makombe tutaendelea kubeba kama kawaida yetu.
.kama mna mtegemea pogba kubeba makombe EPL NA UEFA.mtaishia kuona kwa wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtoa maboko.keishaisha.Tangu lini kawa gari la mkaa? Msimu uliopita kacheza mechi 38. Au wewe unafatilia ligi ya wapi mkuu?
Sisi mashabiki wa Utd ndio tunajua uwezo wa Pogba akiwa uwanjani. Msimu uliopita alikosa mechi 3 lakini timu iliteseka kucheza,hakukua na muelekeo wa timu kabisa na hao wanaosema Pogba hafai wakanza kusema anafaa.
Sawa ila jamaa hana consistency kabisa. Yaan kuwepo kwake kwenye games nyingi anaonekana hana madhara. Kwa EPL sawa maana timu nyingi kama uwezo ziko sawa. Ndomaana inafika wakati huwezi tabiri nani anashinda. Ila timu tuitoe nje kukutana na timu kama Madrid, Barca, Bayern, Juve, PSG huwezi muona Pogba. Ujue Pogba is very worth. Anatakiwa piga mpira wa thaman yake. Umri alionao ndoanatakiwa kuwa on fire sasa.