Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio maana sinaga wasi wasi na usajili wa mourinho!! Jana niliona shughuli ya huyu jamaa!! sasa sijui tutasingizia nini tena maana beki wapo, kipa yupo, viungo wapo wakiongozwa na pogba na matic, na pale mbele tuna lukaku!!
Hauna wasiwasi tena...!
 
Ha ha naona kampeni ya Mourinho out itaanza mwezi January


Nakumbuka enzi za Furguson Man u hua wanakua na kasi sana wakati wa ku attack hadi utapenda
Ahahaha mambo yamekwenda ndivyo sivyo ...
enewei unajua timu yetu man u huwa haikati tamaa kabisa. ..cunajua tena straika wetu lukaku ...atarudisha banaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Credit nampa aliepiga shoot team butu sana haishambulii hata kidogo inatia hasira sisi wacatalonia tunaita dead football you have to attack and attack and attack hadi opponent apagawe akili zinavurugika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…