IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,920
- 5,267
Hana tofauti na wale waliokuwa wanaamini juventus wangemfunga real madridanaeamini Man U anashinda leo itabidi tumpime akili lazima atakuwa kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana tofauti na wale waliokuwa wanaamini juventus wangemfunga real madridanaeamini Man U anashinda leo itabidi tumpime akili lazima atakuwa kichaa
Lolote laweza kutokea.Hana tofauti na wale waliokuwa wanaamini juventus wangemfunga real madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Rojo kaongeza kilo sana anahitaji tizz la kutosha kurudia khali yake kabla ya kuumiaNimefurahi sana kumuona Mnyama Rojo
Amina!Mungu nijaalie niwe na afya njema apo badae...niweze kuona game. Niko tayari kwa matokeo yoyte...ila nitapenda zaidi man u tukishinda
Kesho ni tushambulie tu,
3:45 usiku wa leo ya nane naneGame hii saa ngapi wakuu kwa saa za east africa
Ukiwa ndani ya bulanketi umejifunika kitandani
Endelea kuota ila saa sita usiku tusije kutafutanaMadrid 4 Manchester 0
Ni mimianaeamini Man U anashinda leo itabidi tumpime akili lazima atakuwa kichaa
Andikia mate na wino upoLazima iwe ivyo