Morata alishakuwa muhenga😀ndiyo maana sa nyingine tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo, tumenyimwa kumbe tunaondolewa gundu.
Hhaaaa haaa ha ha upo kwenye dunia ipi ? Maana game inaanza saa tatu usiku
Link yaani live stream mkuu??
Hahhahah naomba usijaribu sports lady wetu maana awamu hii hawakawii kuja kukuoomba mkojo
Uwiiiiii
Acha mambo kijinga, kama hujui kitu potezeaHhaaaa haaa ha ha upo kwenye dunia ipi ? Maana game inaanza saa tatu usiku
Heee hee rudia tenaaa
Siku njema huonekana asubuh. Usiniharibie siku.Heee hee rudia tenaaa
Tuko pamoja...
Naomba nishirikishe kwa hilo cute b,hata mie nilipanga kuvua tafadhali.
MhMadrid 4 Manchester 0
Lazima iwe ivyo