Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mwekezaji bilionea wa kichina anataka kuinunua Manutd
Ni jambo zuri sana kwa kujitokeza matajiri wanaovutiwa na klabu ya manchester united,ila ni vizuri zaidi kwa hao matajiri kufanya uwekezaji wao wakiwa na fedha mkononi na si kukopa benki na wakaiweka klàbu ikiwa na madeni kama walivyofanya familia ya glazer.Pia wawekezaji wafahamu kama manchester united ni zaidi ya KINGDOM kwa sababu ina tamaduni zake za uendeshaji wa klabu hivyo basi hawapaswi kuzitelekeza.kwenye issue ya uwekezaji ningelifurahi zaidi kama FA wangeliweka sheria ya 51% to 49% kati ya muwekezaji na wadau wa klabu hii ingelisaidia sana kuondoa migogoro kati ya wawekezaji na mashabiki katika uwendeshaji wa klabu.

Kila la kheri wawekezaji wa kichina kwenye kingdom takatifu ya manchester united ambayo kwa sasa inaongozwa na crown prince jose mourinho.
 
Mourinho: "If Bale's not in Real's plans, I will be waiting to fight with other coaches that would want him on their team. But if Bale plays tomorrow, that's the best confirmation that he's wanted by Real."

Daaah mi binafsi naona bora tusimsajili maana bei yake itakua kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…