Hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana morata ataiweza kweli EPl?? kwa beki kama lile la arsenal lilioingia kama sub ya majeruhi ya arsenal jitu limevimba kama gunia la viazi vya lushoto

acha kabisa..ila lukaku tumepatia kwa sababu yupo tough na pia anaijua ligi ya england..huyu morata ngoja tumwone..ila nashukuru hatukumnasa asingebadilisha sana pale mbele...

Lukaku ndiyo usajili sahihi ukilinganisha na morata, kwanza ana uzoefu wa kutosha na EPL na ana mwili wenye kusumbua mabeki, isitoshe tunahutaji trophies hivyo sikuona sababu ya kumtafuta straiker ambae atataka kuchukuwa muda kuizoea ligi though ni kwa wachache wenye kuweza kuadopt.
acha kabisa..ila lukaku tumepatia kwa sababu yupo tough na pia anaijua ligi ya england..huyu morata ngoja tumwone..ila nashukuru hatukumnasa asingebadilisha sana pale mbele...
Young Manchester United starlet Cameron Borthwick Jackson set to Join Leeds United on season long loan,the young left back impressed under Van Gaal spell.