marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Tupeane likes tu kama motisha huu uzi pekee ndio upo active hata baada ya league kuisha tulikuwa tunapeana taarifa hapa hapa sasa league imerudi tutakuwa hapa 24*7Kweli mkuu yeyote anaetuletea updates tusijivunge kwenye likes..ili kuboresha Uzi.
young kilimanjaro
Thanks nimefurahi kurudi nyumbaniMkuu habari za siku mingi?? Kumbe dawa za mshana jr zinasaidia maana inasemekana uzi ule wa Likes ulipewa limbwata toka Gambia.
Welcome back comrade, we really missed you.
Mmmmh itawezekana kweli namm nimeona ii kitu na vp ataweza kweli Ku drive team kama Manchester
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi likizo nami likizo nikaenda kuvuna milikes huoni ilivyopaa
Teh teh teh
Sawa mkuu kuanzia leo kazi kama kawaNitatoa likes kwa members wote humu we tupia tu updates unakula likes zangu zote! GGMU!
Hata wewe ukitoa update utapewa likes miiiingi ila huyu Ruta tutakuwa tunampa likes za heshima anamchango mkubwa sana hapa jukwaan!Ruta lazima apewe likes kwa kila anachopost,sababu bila yeye huu Uzi sio chochote
Swafi sanaKweli mkuu yeyote anaetuletea updates tusijivunge kwenye likes..ili kuboresha Uzi.
young kilimanjaro
Shukrani sanaRuta lazima apewe likes kwa kila anachopost,sababu bila yeye huu Uzi sio chochote
Sio mbaya maana kazi yake tumeionaMourhnio awa meneja wa kwanza kutumia jumla ya zaidi ya £1 bill kununua wachezaji
Hii ni kwa maisha yake yote ya ukocha siyo Manutd tu.Sio mbaya maana kazi yake tumeiona
young kilimanjaro
Huyu jamaa kajishusha sana kuhama untd