Mkuu hakuna kitu sipendi kama Madrid kuwamwagia Man utd wachezaji wao wasio wataka tena kana kwamba man utd ni timu ya hadhi ya chini sana. Hii tabia nilidhani mou atakomesha ila kama akiwachukua,atakuwa ameniangusha balaa!
Bale and ronaldo go to hell!
Sent using
Jamii Forums mobile app