Daaa hizi biashara bana saa nyingne znaleta udharirishaji. Huyo Bale Man U wamemuhitaji kwa muda mrefu sana lakini anawadengulia na sasa amekuwa spana mkononi ndio Madrid wanataka kuturushia na yeye ndio anataka kuja kujipumzisha man u. Shenzi zake sana na simpendi.
Nadhani kikubwa hapa ni kwamba Man u imekuwa haina ubavu wa kumhitaji na kumchukua mchezaji wa first 11 na muhimu kwa Madrid ambae yupo na hali nzuri kabisa kama wao walivyotufanyia kwa CR. Ukiangali sisi tulivyohangaika na Morata ambaye hakuwa chaguo la kwanza, na sasa tunavyohangaika na kudharirika kwa Bale ambae ni majeruhi na tena anataftiwa mbadala,utagundua kwamba Madrid wanakuwa wababe kwetu.