Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mie pia simpendi huyu jamaa hata kama Madrid watatugawia bure. Ni heri aje periscope tu kama suala ni natural wing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana sinaga wasi wasi na usajili wa mourinho!! Jana niliona shughuli ya huyu jamaa!! sasa sijui tutasingizia nini tena maana beki wapo, kipa yupo, viungo wapo wakiongozwa na pogba na matic, na pale mbele tuna lukaku!!
Matic atasaidia sana, ngoja tusibirie ligi
 
Ndio maana sinaga wasi wasi na usajili wa mourinho!! Jana niliona shughuli ya huyu jamaa!! sasa sijui tutasingizia nini tena maana beki wapo, kipa yupo, viungo wapo wakiongozwa na pogba na matic, na pale mbele tuna lukaku!!
[HASHTAG]#Systematic[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Diplomatic[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Mathematic[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Automatic[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Nemanja[/HASHTAG] matic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…