Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nipo aiseee, kwasas sionekani sana ila nipo ligi ikianza ndiyo nitakuwepo zaidi. afadhali cute b karudi mana nae akifichwa anafichwa haswaaa.

mrembo mwingine shabiki damu wa Man Utd nae kapotea, sijui anamsaidia Mou kwenye mambo ya usajili.
everlenk yupo bize ila ligi zikianza atakuja tuu mbona.
Dear Mimi nipo hapa najiandaa kucheza Singeli maana vigodoro vimepitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzako wana ronaldo na bale wewe una rashfold?mkuu perisic ni muhimu sana pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mchezaji kaniuma sana kuondoka darajani. katika most blunder ambao uongozi wetu umefanya ni kumuuza huyu mtu tena kwa mpinzani wako.
ni sawa na umeenda vitani then unamuuzia silaha adui unayepambana nae tena silaha uitegemeayo.

kupata vichekesho kama hivo tuma neno neymar kwenda manU.
 
Pole sana mkuu. Nimekutana na mwenzako mmoja anasema huyu sio mchezaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…