Manchester United (Red Devils) | Special Thread

De gea kwenda madrid kwa sasa labda Mou awe ameondoka man united.Hakuna mahusiano mazuri kati yetu na wale wapuuzi.Wao kila mchezaji mzuri wanamtaka wao.Halafu magarasa yao hata yakibuma utaskia huyu anauzwa £ 90M.
Kama mimi ningekuwa Woodward ningeomba tukate kabisa mahusiano ya kibiashara na madrid ni washenzi sana wale jamaa
 
De gea watamsikia tu, wakomae kutafuta mwingine kwani Neur si kipa mzuri wangebadilishana na Bayern. Sisi kama wanamtaka basi kroos aunganishwe kwenye hilo dili ili iwe win win situation!
 
Wewee pesa inaongea lolote laweza kutokea kwa De gea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…