Hatari sana
Naliangalia soko lilivyo kipindi hiki,najaribu kumuelewa Mourihno juu ya usajili,najaribu kuyasoma mawazo ya woodward juu ya kutimiza mahitaji ya Kocha.
Nakubaliana na wewe,ila naona kukuwa au kuongezeka kwa uwezo kwa wachezaji wengi sana,Mikh now atakakiwa kutuonyesha thamani yake halisi.Yote kwa yote kuna mtu yupo on fire ......Mikhmagic hatari sana uyu mtu
Rojo shaw na Ashley young wana special programm ya mazoezi kwasababu wametoka injuryNdo maana hajarikover akiwa fit atachezeshwa na kocha mwenyewe aamue
Nice analysis mkuuNaliangalia soko lilivyo kipindi hiki,najaribu kumuelewa Mourihno juu ya usajili,najaribu kuyasoma mawazo ya woodward juu ya kutimiza mahitaji ya Kocha.
Kiukweli soko limekuwa na maswali mengi kipindi hiki,thamani ya wachezaji zimeongezwa maradufu kuliko hali halisi na uwezo wa mchezaji, kumekuwa na hali ya kukumoana katika soko baina ya timu,ndio hali ilivyo katika soko la sasa.
Nafurahishwa na uwezo na akili ya Mourihno katika kufanya maamuzi,kusajili mshambulaji na beki wa kati ilikuwa ni lazima kufanya hivyo kwa gharama Yeyote ile,na ndio mana kati ya Vyote tumetimiza haya mahitaji ya lazima.
Now tumebikiza kusajili Kiungo mmoja mkabaji,Winger na ikiwezekana Mshambuliaji mwingine,lakini kwa hali ya soko lilivyo na tukikaribia kuanza kwa msimu mpya sioni tukisajili mchezaji mwingine Zaidi ya kuhamia Plan B.
Sasa tunaona Majukumu mapya ya Adreas Pereira katika kikosi chetu,tuna mapungufu katika kiungo cha ukabaji,hivyo Mou anamuandaa Pereira kwa ajili ya kuziba pengo hili.
Tunaona kwa Tuanzabe pia kwa ajili ya kuwa Mrithi wa Valencia.
Tunaona majukumu Mapya kwa Lingard kwa ajili ya kuziba pengo la upungufu wa Mawinger endapo tutashindwa kusajili Winger.
Same as kwa mshambuliaji wa usaidizi,tunaona kasi Mpya ya Rashford.
Bado niaona nafasi ya Ibramovic kurudi kwa ajili ya kusaidia ushambuliaji.
Kitu nnachopenda na kufurahishwa ni kwa Mou kunaza kutumia Plan B,kumbuka alishaandika Mpango wa kufuata na kutekeleza Falsafa ya Sir Alex,ya kuwafanya wachezaji wa kawaida na chipkzi kuja kuwa World Class Player.
So ni Msimu wa Rashford, Lingard,Pereira na Lukaku huku wakisaidiawa na akina Herera,Pogba.
Ni wakati wa kumtengeneza Scholes Mpya,Roy keen Mpya n same as.
Sent using Jamii Forums mobile app

Naona kamsahau mtu muhimu sana kwenye team mwenye assist za kutosha tu....Mata humjui kijana?
Hili la kukomoana au ulafI wa vilabu ni jambo la wazi kabisa tizama walker tot wamelamba 54 kweupe viwango vya pesa na uwezo vipo tofauti sana naungana na maelezo yako akili ya mou ndio hiyoNaliangalia soko lilivyo kipindi hiki,najaribu kumuelewa Mourihno juu ya usajili,najaribu kuyasoma mawazo ya woodward juu ya kutimiza mahitaji ya Kocha.
Kiukweli soko limekuwa na maswali mengi kipindi hiki,thamani ya wachezaji zimeongezwa maradufu kuliko hali halisi na uwezo wa mchezaji, kumekuwa na hali ya kukumoana katika soko baina ya timu,ndio hali ilivyo katika soko la sasa.
Nafurahishwa na uwezo na akili ya Mourihno katika kufanya maamuzi,kusajili mshambulaji na beki wa kati ilikuwa ni lazima kufanya hivyo kwa gharama Yeyote ile,na ndio mana kati ya Vyote tumetimiza haya mahitaji ya lazima.
Now tumebikiza kusajili Kiungo mmoja mkabaji,Winger na ikiwezekana Mshambuliaji mwingine,lakini kwa hali ya soko lilivyo na tukikaribia kuanza kwa msimu mpya sioni tukisajili mchezaji mwingine Zaidi ya kuhamia Plan B.
Sasa tunaona Majukumu mapya ya Adreas Pereira katika kikosi chetu,tuna mapungufu katika kiungo cha ukabaji,hivyo Mou anamuandaa Pereira kwa ajili ya kuziba pengo hili.
Tunaona kwa Tuanzabe pia kwa ajili ya kuwa Mrithi wa Valencia.
Tunaona majukumu Mapya kwa Lingard kwa ajili ya kuziba pengo la upungufu wa Mawinger endapo tutashindwa kusajili Winger.
Same as kwa mshambuliaji wa usaidizi,tunaona kasi Mpya ya Rashford.
Bado niaona nafasi ya Ibramovic kurudi kwa ajili ya kusaidia ushambuliaji.
Kitu nnachopenda na kufurahishwa ni kwa Mou kunaza kutumia Plan B,kumbuka alishaandika Mpango wa kufuata na kutekeleza Falsafa ya Sir Alex,ya kuwafanya wachezaji wa kawaida na chipkzi kuja kuwa World Class Player.
So ni Msimu wa Rashford, Lingard,Pereira na Lukaku huku wakisaidiawa na akina Herera,Pogba.
Ni wakati wa kumtengeneza Scholes Mpya,Roy keen Mpya n same as.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana Rashford yupo kwenye Radar za Madrid. Mziki upo hapo...Boss wa Chelsea kasema Matic ataondoka kwa £50 Milioni, JM aliweka dau la £30 Milioni na amesema wanaweza pia kumsajili kwa dau hilo ambalo Chelsea wanataka.
Kasper (Golikipa wa Leceister) yupo kwenye rada za Man U hii, inaonesha De Gea akiondoka basi kati ya yeye na Romero mmoja atakuwa mrithi wa miringoti ile mitatu.
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Hebu na wao watutolee balaa lao, kama wana £500 Mil waje.Inasemekana Rashford yupo kwenye Radar za Madrid. Mziki upo hapo...