Hahhaha sku hzi tunaita kasanzukaIla goli la lukaku tamu kweli.
Yaani alikuwa mwenyewe golini na akahakikisha real salt lake hawamzidi nguvu.
Zamani tulikuwa tunaita kapiga chenga
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha "kasanzuka"Hahhaha sku hzi tunaita kasanzuka
Sent from my HTC U11 using JamiiForums mobile app
Wamejitahid sana realsaltFT: Real Salt Lake 1 - Man United 2
FT: Real Salt Lake 1 - Man United 2
Ha ha ha kwa nini mkuuMitchell
Jones
Smalling
Hawa Wote ni wa kuuzwa ....
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hakika.Naona leo morinho hajawapanga game moja martial na lukaku nahisi ni kutokana na game iliyopita martial kuwa mbinafsi kwa lukaku kwa kutompatia pass
Ila takwimu zake za msimu ulioisha ziko very impressive kulinganisha na mawinga wetu!akikosekana mbadala basi Perisic apewe tu hata kwa mda hizo nambaSijaona uwezo alionao mpaka apewe hizo namba.
Kama ulicheki game ya Leo goli la kwanza tulilofungwa ni makosa ya Jones na tatizo lake ni lile lile la kutokuwa aggressive anapobaki man to man na striker. Tumefungwa goli rahisi sana. Sasa hivi tunawachezaji wa kiwango cha dunia wanaoweza kucheza Nafasi ya ulinzi; Rojo, Bailly, Linderholf, Tuanzebe... Sioni sababu za kuendelea kuwashikilia Jones na Smalling. Ni muda waende kutafuta changamoto mpya kwingine.Ha ha ha kwa nini mkuu
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Pereira akipata nafasi msimu ujao atastaajabisha watu.Kama ulicheki game ya Leo goli la kwanza tulilofungwa ni makosa ya Jones na tatizo lake ni lile lile la kutokuwa aggressive anapobaki man to man na striker. Tumefungwa goli rahisi sana. Sasa hivi tunawachezaji wa kiwango cha dunia wanaoweza kucheza Nafasi ya ulinzi; Rojo, Bailly, Linderholf, Tuanzebe... Sioni sababu za kuendelea kuwashikilia Jones na Smalling. Ni muda waende kutafuta changamoto mpya kwingine.
Andreis Pereira.
Kama kuna mchezaji pale Manchester tunapaswa kumuangalia kwa jicho la tatu ni huyu kijana...
Sent From My Nokia Ya Tochi
BAK Ayokoooooooo 🙂🙂🙂