Wazee wenzangu hivi tukimpata matic na perisic na sisi tusitoe wachezaji,sio kwamba kutakuwa sana na mkanganyiko kwenye kuchagua kikosi au kutakuwa na ufinyu wa nafasi kwa baadhi ya wachezaji?..wachezaji kama lingard,carrick, fellaini,young,mata,martial,mhitaryan kocha atawapaje nafasi?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app