lugege kacniaUnajua watu wanashindwa kutofautisha ugumu wa timu zinazosadikika kuwa ndogo epl na zile za la liga! Epl ni ngumu inahitaji mtu mwenye uzoefu na ligi ili kuwa na msimu wa mafanikio zaidi (lukaku) sasa wanaposema eti hawana imani na lukaku ambaye amekuwa na msimu wa mafanikio zaidi akiwa na everton nakuwa napata kigugumizi kuwaelewa
vipi Kwan Bakayoko bado hutujawaliza tu na huko maana wanatakiwa wajue kuwa msimu uliopita walibahatisha tu.James Rodriguez huyooooo Buyern Munich kwa mkopo, Chelsea mwaka huu kazi wanayo.
Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Inaonekana pia Man U wapo nyuma ya Bakayoko na ikitokea wakapiku basi Chelsea anaweza kuzira Kusajili.vipi Kwan Bakayoko bado hutujawaliza tu na huko maana wanatakiwa wajue kuwa msimu uliopita walibahatisha tu.
vipi Kwan Bakayoko bado hutujawaliza tu na huko maana wanatakiwa wajue kuwa msimu uliopita walibahatisha tu.
Walibaatusha kufabyaje mkuuvipi Kwan Bakayoko bado hutujawaliza tu na huko maana wanatakiwa wajue kuwa msimu uliopita walibahatisha tu.
Teh! Teh! Teh! Ni uhondo kuanzia Jpili asubuhiAfadhali aisee
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Hahaha hatari mzee baba Rutaa!!Teh! Teh! Teh! Ni uhondo kuanzia Jpili asubuhi
When you order something online VS when it actually arrives.
[emoji23][emoji23]
Yuko hivo mote alimopitamou yuko very social na kila mtu
ni man utd tu au timu nyingine ilikuwa hivi?