Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Hii khofu sijui inatoka wapi! pana shabiki mmoja kanasibisha hili la lukaku na moyes kuwa bwana David aliitengeneza vizuri toffes kwa wachezaji wa pesa kidogo tukaona akiwa na fungu zuri atafanya makubwa matokeo tuliyaona. Lukaku wapishi walikuwa sio mahiri kama ambao anakutana nao OT sasa hapo tena ni kupasia nyavu tu ndio lililobaki jamaa hana anachokijua zaidi ya kufunga na ndio tulipungukiwa hicho.Kweli mkuu naona watu wana moto wawapi cjui wanashindwa Ku reason vzur... Awaoni lukaku moto wake pamoja nakwamba alikuwa timu ndogo kama Everton lkn aliweza hadi kuwa second top scorer wa premier imagine akiwa chini ya kina pogba kina miki kina mata na kina herera
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Huyu kijana huwa nakosa la kusema tambo analo zuri tu sasa sijui hata nisemaje !Kwa wale wanaopenda Rap..
Aliyekuwa winga wa zamani wa Man U Memphis Depay ametoa wimbo wa kurap..
Kiufupi jamaa anajaribu kuonyesha kuwa sio mpira ila ana kipaji zaidi...
Tayari una 508k viewers..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Huwa pana kituko wakiwa wapo uwanjani wote khalafu Rashford akazinguana na wachezaji pinzani hapo kaka mkubwa lingard huja na kutoa kibesi huku akisukuma watu huwa nacheka sana
Kwakweli nimekuwa na wikiendi ya kushangaa watu ambao wanakuwa na wasiwasi kwa lukaku ambaye aliweza kutupia vyuma akiwa kama kuku wa kienyeji (anajitafutia chakula chake mwenyewe) sasa yupo na walishaji mahiri kabisa na chanjo anapewa kweli atashindwa kufanya bora zaidi?Hii khofu sijui inatoka wapi! pana shabiki mmoja kanasibisha hili la lukaku na moyes kuwa bwana David aliitengeneza vizuri toffes kwa wachezaji wa pesa kidogo tukaona akiwa na fungu zuri atafanya makubwa matokeo tuliyaona. Lukaku wapishi walikuwa sio mahiri kama ambao anakutana nao OT sasa hapo tena ni kupasia nyavu tu ndio lililobaki jamaa hana anachokijua zaidi ya kufunga na ndio tulipungukiwa hicho.
Hilo nalitegemea na tuanze na EPL watu hawajui ndio pana mechi nyingi na nzugwe kubwa nina imani atatupatia mabao mengi akiisha elewana na wapishi pale zile volley za kina Pogba na penetration za mata na herera burdan.Kwakweli nimekuwa na wikiendi ya kushangaa watu ambao wanakuwa na wasiwasi kwa lukaku ambaye aliweza kutupia vyuma akiwa kama kuku wa kienyeji (anajitafutia chakula chake mwenyewe) sasa yupo na walishaji mahiri kabisa na chanjo anapewa kweli atashindwa kufanya bora zaidi?
I BET LUKAKU NDIO TOP GOAL SCORER WA MSIMU WA 2017/2018
Mark my words, kacnia
Usinichekeshe bila "vijisenti" mahesabu hayakamilikiNdio maana nakomaa kutafuta pesa mkuu...haya mambo mengine ukitaka kuumia moyo na akili vamia ukiwa empty mfukoni uone[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiye tunamsubiria ingawaje nasikia kama Chelsea hawamchukui Bakayoko basi sisi tunamchukua! Wakimchukua basi Matic tunalala naye sambambaKwakweli perisic ni mashine moja hatari
Cant wait to see him in red tshirt
Mimi hupenda kuwaona uwanjani wakikatiana mapande hupendeza sanaHuwa pana kituko wakiwa wapo uwanjani wote khalafu Rashford akazinguana na wachezaji pinzani hapo kaka mkubwa lingard huja na kutoa kibesi huku akisukuma watu huwa nacheka sana
Hata mimi nina uhakika na hilo hawezi kuwa na mpinzaniKwakweli nimekuwa na wikiendi ya kushangaa watu ambao wanakuwa na wasiwasi kwa lukaku ambaye aliweza kutupia vyuma akiwa kama kuku wa kienyeji (anajitafutia chakula chake mwenyewe) sasa yupo na walishaji mahiri kabisa na chanjo anapewa kweli atashindwa kufanya bora zaidi?
I BET LUKAKU NDIO TOP GOAL SCORER WA MSIMU WA 2017/2018
Mark my words, kacnia
Unajua watu wanashindwa kutofautisha ugumu wa timu zinazosadikika kuwa ndogo epl na zile za la liga! Epl ni ngumu inahitaji mtu mwenye uzoefu na ligi ili kuwa na msimu wa mafanikio zaidi (lukaku) sasa wanaposema eti hawana imani na lukaku ambaye amekuwa na msimu wa mafanikio zaidi akiwa na everton nakuwa napata kigugumizi kuwaelewaHata mimi nina uhakika na hilo hawezi kuwa na mpinzani
Wacha umri huo mpaka wakifika 27 mungu akiwaepusha na majeraha watakuwa wamefanya makubwa sana hapo OTMimi hupenda kuwaona uwanjani wakikatiana mapande hupendeza sana