Sio yeye ni mkereketwa mmoja anayeshabikia timu kwa miaka kadhaa bila ubingwa wa epl. Hii kitu inawavuruga akili ukijumlisha msimu ujao wapo europa .Tuwasamehe tu inauma.Huyu dogo aache kuwadharau wachezaji wenzake. Najua anatamani kurudi, atulie tu nafasi bado IPO mbeleni huko.
Rashford ni msimu wake wa pili.Mkuu ebu tufanye analysis ndogo tu ambayo haitaji kuchimba sana...ebu tujiulize imemchukua Lukaku misimu mingapi ili kuwa na uwezo wa kupata magoli 20+
Na angalia Rashford ni msimu wake wa ngapi huu na ameonesha potential ya kiasi gani
Unashabikia timu gani mkuu? Kama ni Ass e nol mbona na yenyewe imevunja record( lacazzete) ambaye hawezi kupata number hata kwa Giroud timu ya taifa.Your best player is Spain's 25th choice midfielder. He has never started a game or kicked a ball in anger in a competitive fixture for Spain
Mkuu unashabikia timu gani?Mtu anafuga mbwa mkali nyumbani na getini anaweka kibao kuwa kuna mbwa mkali hapa pita kwa tahadhari. Watu wote wanaheshimu huo mtaa.
Bahati mbaya mbwa mkali anakufa kwa siri wengi hawajui wanabaki kuogopa bango tu ambalo mwenye mbwa kasahau kulitoa.
Man united ile ya wakati wa akina bathez kurudi nyuma haipo na haiji kuonekana.
Hii Man inayotunguliwa nne hadi na timu za mk donas ni shida. Imebaki story kama ilivyo kwa Liverpool. Man u haina meno kwisha habari yake.
Mzigo,kwangu binafsi Lukaku hana thamani hiyo lakini ndio hivyo soko limebadilika sana na tunahitaji kuwa na Mshambuliaji wa uhakika zaidi hatuna jinsi Morata ndio kama hivyo,na tukiendelea kuchelewa tunaweza mnunua kwa Zaidi ya hiyo bora hivyo na huku tukienda pre season tukiwa na uhakika na mshambuliaji.
Lukaku kwangu tungemchukua kati ya 60 na 50 or 45.
Huyu dogo aache kuwadharau wachezaji wenzake. Najua anatamani kurudi, atulie tu nafasi bado IPO mbeleni huko.
Ni kweli lakini angalia ni kwenye mechi zipi kapata magoli mengi...yeye sio day to day scorer...akiwakuta vibonde anawanywa goli za kutosha...mechi za maana haonekani kabisa
Mind you still tuna UCL ambako ni league ya wakali tu wa ulaya
Kisu cha ngaliba ulikuwa kijana mwema sana tatizo hapo katikati makundi yalikuvuruga. Upo sahihi kabisa. Hasa ukizingatia Lukaku ana mengi ya kujifunza Man U na kwa muda mrefu i am sure ataendelea kuwa mchezaji na mfungaji bora. Ikizingatiwa kwa sasa ndiye mshambuliaji atakayekuwa tegemeo.Hizo timu ndogo ndio zilizotutoa jasho msimu uliopita,droo za ajabu na kina Stoke,Burnley,Swansea,Westham,Hull City,Sanderland nani anazitaka tena? Aje kuzifunga hizo timu ndogo halafu kubwa watafunga wengine.
Kisu cha ngaliba ulikuwa kijana mwema sana tatizo hapo katikati makundi yalikuvuruga. Upo sahihi kabisa. Hasa ukizingatia Lukaku ana mengi ya kujifunza Man U na kwa muda mrefu i am sure ataendelea kuwa mchezaji na mfungaji bora. Ikizingatiwa kwa sasa ndiye mshambuliaji atakayekuwa tegemeo.
Relax just a joke bwana. Naona sasa Conte kahamia kwa Bellot aisee huyu kijana naye hatariMakundi yapi?
Relax just a joke bwana. Naona sasa Conte kahamia kwa Bellot aisee huyu kijana naye hatari
Hivi ni soko limebadirika ama uwezo maana dah SANCHEZ anamjambisha Wenger anataka 400 kwa wiki. Lemar uhamisho wake wanataka 80 dah.!Belloti ni mzuri lakini bei yake ni hatari.
Hivi ni soko limebadirika ama uwezo maana dah SANCHEZ anamjambisha Wenger anataka 400 kwa wiki. Lemar uhamisho wake wanataka 80 dah.!
Tena kama hao stoke city ilikuwa kama mchezo wa kuigiza. Wacha irudi enzi ya wamakonde wale wawili Yorke na Cole tatizo letu ilikuwa mfungaji na lukaku anatoshaHizo timu ndogo ndio zilizotutoa jasho msimu uliopita,droo za ajabu na kina Stoke,Burnley,Swansea,Westham,Hull City,Sanderland nani anazitaka tena? Aje kuzifunga hizo timu ndogo halafu kubwa watafunga wengine.
kwa mtizamo wangu EPL mpaka sasa katika soko la usajiri ndo imetamba kwa kuleta majina makubwa toka ligi zingine upi mtazamo wako kwa EPL msimu huu.?!Soko limebadilika kwasababu timu nazo zinaingiza pesa ndefu sana. Tena timu za England ndio zinanyonywa sana.
kwa mtizamo wangu EPL mpaka sasa katika soko la usajiri ndo imetamba kwa kuleta majina makubwa toka ligi zingine upi mtazamo wako kwa EPL msimu huu.?!
Aisee.. Huyo ni mchezaji mzuri sana na Chelsea wafanye hima, hongera Man kwa Lukaku nilikuwa sitaki aje darajani.Relax just a joke bwana. Naona sasa Conte kahamia kwa Bellot aisee huyu kijana naye hatari
Kumbuka lakini sisi ni mabingwa wa Europa Ligue na ni misimu mitatu kabla ndio hatukufanya vizuri na Viashiria Vyote vinaonesha kurudi kwa ufalme wa Man U next season.Mtu anafuga mbwa mkali nyumbani na getini anaweka kibao kuwa kuna mbwa mkali hapa pita kwa tahadhari. Watu wote wanaheshimu huo mtaa.
Bahati mbaya mbwa mkali anakufa kwa siri wengi hawajui wanabaki kuogopa bango tu ambalo mwenye mbwa kasahau kulitoa.
Man united ile ya wakati wa akina bathez kurudi nyuma haipo na haiji kuonekana.
Hii Man inayotunguliwa nne hadi na timu za mk donas ni shida. Imebaki story kama ilivyo kwa Liverpool. Man u haina meno kwisha habari yake.