Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yawezekana Lukaku akasajiliwa united.....hii ina maana tunaachana na Morata.....£100 milion
 
Yawezekana Lukaku akasajiliwa united.....hii ina maana tunaachana na Morata.....£100 milion
Still Morata ni priority ya United licha ya ofa mbili kukataliwa na Madrid huenda Raiola anawapa presha Chelsea ili wamsajili Lukaku.Mourinho anarudi toka likizo Jumamosi na United wanaanza pre-season next week
 
Rooney akiondoka United itakuwa imepunguza wage bill kwa kiasi kikubwa kwa mwaka 2017

Rooney -260,000
Ibrahimovic-230,000
Schweinsteiger-200,000
Depay-90,000
Schneiderlin-100,000
Everton wanataka tulipe nusu ya hiyo mishahara
 
BREAKING NEWS:Carrick is United's new captain & Herrera is the vice-captain. [sun]
Kama ni kweli Mourhnio kachemsha. Carrick hatarajiwi kucheza mechi nyingi musimu huu ndiyo maana tunasajili akina Matic na wengineo. Defensive midfielders
 
Still Morata ni priority ya United licha ya ofa mbili kukataliwa na Madrid huenda Raiola anawapa presha Chelsea ili wamsajili Lukaku.Mourinho anarudi toka likizo Jumamosi na United wanaanza pre-season next week
 
Kama ni kweli Mourhnio kachemsha. Carrick hatarajiwi kucheza mechi nyingi musimu huu ndiyo maana tunasajili akina Matic na wengineo. Defensive midfielders
Herrera will be captain when Carrick doesn't start. which will be many games.

Hata mi pia siafiki Carrick kupewa unahodha ,ila ni habari ya the sun inaweza ikawa udaku kama kawaida yao.
 
Inavyoelekea ndani ya mastaa 48 usajili wa Morata, Lukaku na Ivan Perisic kukamilika huku Rooney akirudi Everton bila malipo alikotoka! Labda dau la Lukaku kupungua kupooza hili na Rooney kukubaliana na malipo ya £150k badala ya £230k kwa wiki.
 
Herrera will be captain when Carrick doesn't start. which will be many games.

Hata mi pia siafiki Carrick kupewa unahodha ,ila ni habari ya the sun inaweza ikawa udaku kama kawaida yao.
Inawezekana ikawa ili musimu ujao ampe Pogba unahodha nionavyo
 
Inavyoelekea ndani ya mastaa 48 usajili wa Morata, Lukaku na Ivan Perisic kukamilika huku Rooney akirudi Everton bila malipo alikotoka! Labda dau la Lukaku kupungua kupooza hili
I hope so. Morata and Perisic is more likely to happen.
 
Michael Carrick hawezi kuwa nahodha kwa sababu ni mchezaji kiraka
Sio kitu kipya Gary Neville miaka ya mwisho kabla hajastaafu alikuwa Captain Nemanja Vidic alikuwa Vice Captain kwakuwa GNeville alikuwa majeruhi muda mwingi so mechi nyingi Vidic ndio alikuwa Captain baadae Neville alivyostaafu Vidic akawa ndio Captain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…