Wanajua saizi timu ikirudi chini kujinasua ni baada ya miaka!! Lazima wachukue tahadhali. Kama sisi tumeshang'atwa na nyoka, wanajua tukipanda pale juu kuondoka si leo wala kesho. Hivyo timu nyingi zinajaribu kupiga mkwanja mrefu.Tumekwama kwenye usajili.....timu zinapandisha value za wachezaji hovyo hovyo.
Amia arsenal basIli li club sasa lakifala linashindwaje sajili kilasiku tetesi2 ufala mtupu kina mourhino amna kitu kumbe hata lacazette tumezidiwa na arsenal ufala uu
Tumejikita na hao wa Europa wakati Africa na South America wako wengi mnoNaona Madrid wajinga kweli wamepandisha bei ya Morata!! Its better kumchukua Lukaku tunaweza kumpa na madogo pale akina Rashford akafanya vizuri!
Madrid wameniuzi sana, sijui wanataka nini ila nadhani wanataka kutengeneza dili na De Gea ili kufanyike swapping.
Ni hela tu ya Mpabbe inatafutwa sasa dau la Morata ni €90 or €72 mill linakaribia la Manutd waliowauzia CR7!Madrid wameniuzi sana, sijui wanataka nini ila nadhani wanataka kutengeneza dili na De Gea ili kufanyike swapping.