Sioni shida saana kwa usajili kujivuta,,,
Ikumbukwe wanaofanya michakato namaanisha Ed na Josee pia wanahitaji wachezaji wapya kuboresha timu na mapato mengine kibiashara,,,.
Soko limekua gumu mwanzoni ila naamini litakua zuri mwishoni,,.
Real wanataka kutupiga kizembe kabsa,,, hivi Morrata anaewekwa benchi na Benzema wa leo ni wa kulipa £79??
Anataka mda mwing wa kucheza na pale Real hicho kitu hatakipata,, lazima atauzwa tu..
Tuwe wapole mambo yatakua sawa japo kibishi sanaa,.