unazungumzia ac millan au inter millan?Pamoja na Inter Milan kutikisa kiberiti lakini matendo yao yanawasaliti.
Kwanza wamenunua wachezaji wanne na wanaongezea kununua midfielders wawili huku by 30th June wasipouza na kuwa na benki hela ya uhakika watapigwa faini za FIFA FAIRPLAY
Nionavyo hatumalizi weekend Inter Milan itamruhusu Ivan Perisic kujiunga na Manutd before deadline yao ya 30th June
View attachment 531159View attachment 531160
Inter ndo waajiri wa Ivan Perisicunazungumzia ac millan au inter millan?
Huyo Calhanoglu wanaomtaka ni ac milan na hao wanne timu iliyosajili ni ac milan sio InterInter ndo waajiri wa Ivan Perisic
Kumbe!Huyo Calhanoglu wanaomtaka ni ac milan na hao wanne timu iliyosajili ni ac milan sio Inter