Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United could turn to Fiorentina talent Federico Bernardeschi if Inter don’t lower the €55m Ivan Perisic asking price.

 
Wakitudindia hawa Inter Federico Bernardeschi ni mbadala uko mahali yake kabisa tena kwa bei poa

 
The Real Madrid superstar's former teammate Rio Ferdinand says the Ballon d'Or winner is a different kind of player than he was several years ago.

 
Kumlinganisha Radja Nainggolan wa Fiorentina na Nemanja Matic siyo sahihi. Nainggolan ni attacking midfielder wakati Matic ni defensive midfielder




 
nemanje matic to undergo medical at manchester united within next 48 hours. (express) ina maana dili fabinho ndo bc tena... ???
Haijulikani ila Fabinho ni dili tofauti. Huyu Matic ni kama Carrick na Fabinho ni kama Herrera.

Huyu Matic atasaidia kupunguza magoli ya katikati ya goli hasa kutokana na cross tuliumizwa sana

 
Pamoja na Inter Milan kutikisa kiberiti lakini matendo yao yanawasaliti.

Kwanza wamenunua wachezaji wanne na wanaongezea kununua midfielders wawili huku by 30th June wasipouza na kuwa na benki hela ya uhakika watapigwa faini za FIFA FAIRPLAY

Nionavyo hatumalizi weekend Inter Milan itamruhusu Ivan Perisic kujiunga na Manutd before deadline yao ya 30th June


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…