Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Di Marzio hayupo mwenyewe,kuna watu wengine anaofanya nao kazi kama Keveh uyu yuko England,Fabrizio yuko Italy,Tancredi yupo Spain,Mario Giunta.
Kwasasa uyu ndie ninaemuamini,hawa wengine wamekua wapiga ramli tu.
 
Kwa Jose Mourhnio hiki ni kipindi kigumu sana.

Si Spain anakotuhumiwa ukwepaji kodi wa £2.9 mill na sasa Mbunge UK anataka achunguzwe kwa ukwepaji wa kodi wa awamu yake ya kwanza Chelsea. Kule Spain ni nafuu ni faini badala ya kifungo lakini UK anaweza kufungwa hadi miaka 6 mbali ya faini ya £17.4 mill

Kama hayo hayatoshi baba sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…