Hakuna chanzo cha habari cha kuaminika zaidi ya official account ya Manchester, hao wengine wote waokoteza habari tu.Mbona taarifa zinazotumwa humu huwa ni kutoka chanzo kimoja tuu cha habari afu cha kushangaza karibia habari zote siyo za kweli kabisa.. I advice the man to use Sky Sports news
Kwa kweli inaboa sana.. Bora thread iwe imepooza kuliko kuwa active lakini imejaa rumors tu. Kwenye kipindi cha usajili sio lazima 'kushare' kila habari maana nyingine zinaonekana ni udaku tu.Mbona taarifa zinazotumwa humu huwa ni kutoka chanzo kimoja tuu cha habari afu cha kushangaza karibia habari zote siyo za kweli kabisa.. I advice the man to use Sky Sports news
Mbona taarifa zinazotumwa humu huwa ni kutoka chanzo kimoja tuu cha habari afu cha kushangaza karibia habari zote siyo za kweli kabisa.. I advice the man to use Sky Sports news
Kwa kweli inaboa sana.. Bora thread iwe imepooza kuliko kuwa active lakini imejaa rumors tu. Kwenye kipindi cha usajili sio lazima 'kushare' kila habari maana nyingine zinaonekana ni udaku tu.
Najua tetesi zina umuhimu wake na hazikwepeki lakini zikizidi sana inakua kero maana kila siku yanaibuka mapya.Hauwezi kukimbia tetesi za timu,hizi ndio zinatupa mwanga sisi mashabiki.
Mi nadhani wewe ndiye ungeleta hizo habari ambazo sio rumors. Lazima tuwapongeze wanaoleta habari humu. Tusiwe negative all the time!!Kwa kweli inaboa sana.. Bora thread iwe imepooza kuliko kuwa active lakini imejaa rumors tu. Kwenye kipindi cha usajili sio lazima 'kushare' kila habari maana nyingine zinaonekana ni udaku tu.
Mbona taarifa zinazotumwa humu huwa ni kutoka chanzo kimoja tuu cha habari afu cha kushangaza karibia habari zote siyo za kweli kabisa.. I advice the man to use Sky Sports news
Kutoa maoni yangu doesn't mean kwamba nipo negative all the time. Na wala sijapinga mtu yeyote kuleta rumors. Anyway, since lengo langu halikuwa kubishana au kumkera mtu basi tuiache thread iendelee kama ilivyo siku zote.Mi nadhani wewe ndiye ungeleta hizo habari ambazo sio rumors. Lazima tuwapongeze wanaoleta habari humu. Tusiwe negative all the time!!
Very true! Ni kubashiri tu kwenye huu usajiliMsimu huu Sky Sports wamekua waongo sana.
Sahihi kabisa ukisubiri hadi asajiliwe utapitwa na mengi hasa ya jikoniHauwezi kukimbia tetesi za timu,hizi ndio zinatupa mwanga sisi mashabiki.
Ndivyo soko lilivyo. Malengo ya kusajili siyo yote hufanikiwaNajua tetesi zina umuhimu wake na hazikwepeki lakini zikizidi sana inakua kero maana kila siku yanaibuka mapya.
Pamoja sana tetesi ndiyo habari ya mujiniJaman hamna haja ya malumbano sote tunaunganishwa na sprit ya Manchester United..
m nafikiri tetes hazkwepek... acha tu ziendelee kuja..
cha msing mda mwingine tuwe walau tunachambua baadh ya wachezaji wanaosemwa kama wanahitajika kwel na kama kwel wanafit klabuni kwetu
mfano perisic na talsca naona wote moto je wanahtajika wote? je anahtajka mmoja?? je kat yao nan zaidi?
......shukran....
Very true! Ni kubashiri tu kwenye huu usajili
Ni reliable kwa habari zinazohusu mchezaji wa kitalia, au anaechezea timu ya serie A, zaidi ya hapo nae ni zero brain kama scousers tu.Di Marzio ni reliable source.
Ni reliable kwa habari zinazohusu mchezaji wa kitalia, au anaechezea timu ya serie A, zaidi ya hapo nae ni zero brain kama scousers tu.
Sio kweli mkuu, di marzio huwa anaandika habari zinazohusu mchezaji wa taifa la italy au anaetakiwa na timu ya serie A au anaetoka kwenye timu ya serie A kwenda club nyingine.Wala kama unamfatilia ndio anaongoza kutoa taarifa sahihi kwa ulaya msimu huu.