Hapana mkuu hatujakwama kwanza dirisha la usajili linafunguliwa official July 1 hilo 1 pili target za Man united hazijulikani kama ambavyo vyombo vya habari vinavyoripoti tunaeataka wachezaji watatu tu ukimtoa lindelof nakuahidi July 20 titakuwa nao wote na utajua mourinho anafanya nini