Ni kweli kiongozi unachosema,lakini sidhani kama ni sawa kuridhika na mzubao sababu majirani nao wamezubaa..ukizingatia mipango ya majirani haijulikani, ni muhimu sana kusajili mapema ili kocha apate nafasi ya kusoma na kupanga kikosi vema.
Griezmann was top target for Manchester United this summer baada ya ile deal kufa lazima Woodward & Mourinho wakae wajadiliane kuhusu alternative hawawezi kukurupuka then timu nyingi huwa haziuzi wachezaji wao mpaka wapate replacement ya wachezaji watakaowauza
kuwa mvumilivu tu muda si mrefu utafurahi, ed woodward mbona yupo vizuri kwenye soko la usajili au umesahau kama kwenye utawala wake amesajili wachezaji wengi tu kama van persie, di maria,bailly,mata,herrera,pogba.