Barca wako katika hali nzuri kisaikolojia............i.e. Timu bora duniani, Mchezaji Bora duniani yupo kwao......in a way they got nothing to loose............hivyo watacheza vizuri tu na ikibidi KUFUNGA magoli........
Mashetani wana - pressure kubwa..........kwanza kuondoa ile hasira ya kufungwa na Barca 2009............pili wako nyumbani....tatu wao ni underdogs............
Well............ninavyomfahamu Babu SAF..............atakuwa ameishanyia kazi hali hiyo............na vijana wataingia na ari ya ushindi kama kawaida yao...............na hatimaye kushinda gemu..........watch their pace!!