Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah huyu Jones majeruhi yanaua career yake,jamaa mzuri sana.
Jones huwa namkubali...majeruhi yanamuandama sana.

Alafu huwa namuona anatumia Nguvu sana(za mwili) katika uchezaji wake naona hii ndio inamugharimu sana japo huwa ni mtu wa kujituma sana.
 
mou huyu alikuja ot na madrid yake tukafa 2-1 kwa red ya luis nani leo kibao kimegeuka anaenda kukutana na hawahawa aliokua anawafundisha daah nipigie pini kama ulivyowapiga chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…