Msimu umeisha ila katika vitu nilivovipenda kwa msimu huu ni pale kila timu midfielder wao akifanya vizuri mechi mbili tatu basi wanamfananisha na pogba, alianza Xhaka, akaja kante, fernandinho, countinho, henderson, dembele, but the main man was standing.
Sikuwahi ona Xhaka anafananishwa na Henderson, kante au countinho, kitu pekee alichokua anawajibu ni ku-dab na medal shingoni.
"Hated, Adored , Never Ignored "