Hatimae umeonekana, Loh asante kwa pongezi.Leo nitakomaje? Hahaha
Jana nimeangalia mechi,kipindi cha kwanza kilipoisha nikawa na imani na cha pili...kimeanza tu mkaongeza goli nikaenda kulala kwa hasira,nikachungulia dakika ya 70 yaleyale nikagive up.
Hongereni jama,nanyi mcheze UCL sasa maana kama sikosei mwisho ni mwaka 2013/4...mkafanye wonders sasa sio mtolewe round ya 1
cc sister radika kisu cha ngariba na wengine woooote.
Namkubali huyu kijana na Marcus rojo hatariiiiii
Yeah tulikosa msimu uliopita, tungekosa misimu miwili mfululizo adidas wangewakata man utd £21m kwenye mkataba wao. Kwahio pamoja na kushinda kombe, kucheza ECL pia man utd wameokoa £21m approximately tzs 60bNifah hapana sio 2013/2014 pia msimu wa 2015/2016 tumecheza UEFA CL chini ya Luis Van Gal
Hata mimi nilimlaumu sana hapa...Mourinho alipoamua kukomaa na Europa wengi walimlaumu wakiwemo Man utd fans ila alikuwa anajua anachofanya.....
[HASHTAG]#mourinhoisagenius[/HASHTAG]
We created that coz we WON the real TREBLE in 1999. We won this Europa cup to get to ECL only coz it was our only realistic chance......
Liverpool won the League Cup, Charity Shield and UEFA Cup in 2001, and Manchester United supporters created this banner. Times have changed.
Cc Ollachuga OcEuropa league winner gets around €399.8 million...
Si haba
In fact alipoona nguvu ya kukabiliana na akina Chelsea ni ndogo, Mourinho aliamua kuhamishia majeshi Europa. Uamuzi wake haujamuangusha kabisaMourinho alipoamua kukomaa na Europa wengi walimlaumu wakiwemo Man utd fans ila alikuwa anajua anachofanya.....
[HASHTAG]#mourinhoisagenius[/HASHTAG]
View attachment 514111 ng'ombe umbea wake umemponza
Biashara nzuri hiiPrizes for EPl 2016-17. 1.Chelsea 38m. 2.Tototo. 36.1m. 3. City. 34.2m. 4. Liver. 32.3m. 5. Arsen. 30.4m. 6. Utd. 28.5m. 7. Everton. 26.6m. PRIZE MONEY FOR WININNG EUROPA LEAQUE CUP ITS £27m. All in all Man Utd to pocket £28.5m ( 6th pisition in EPL) + £27m ( EUROPA) + £30m (LEAGUE CUP) + £20m ( community shield) + £23m ( Fa cup quarter final ) = approx £130m. Whilst Chelsea to get approx less than half of what Man Utd gets 2016-17. That's why Man Utd are the money makers year in year out.