Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hongera kwao, na wanazi wote wa manure. Nauliza vipi Uingereza sasa itapeleka timu 5 UEFA au Liver amepigwa chini kwa huu ushindi wa Manure??????
 
Europa cup ni kakikombe kadogo sana wewee ...kikombe cha kawaida tu icho hakina pesa kama FA, mara kumi hata na carling cup
Pole sana....Ukishinda FA cup unacheza Europa League, ukishinda Europa unacheza ECL yenye hela nyingi kuliko makombe yote. Bado unasema FA ina pesa kuliko Europa?

Arsenal kashika nafasi ya tano hachezi ECL, Liverpool nafasi ya nne anaanza na qualifying games ila Man Utd kashinda Europa cup anaingia moja kwa moja kwenye groups kama mabingwa wengine wa ligi.

Chuki inakupa upofu

[HASHTAG]#MourinhoIsAGenius[/HASHTAG]
 
Lady Nifah tu hajavamia ana roho mbaya huyu hata kapongezi hamna
Leo nitakomaje? Hahaha
Jana nimeangalia mechi,kipindi cha kwanza kilipoisha nikawa na imani na cha pili...kimeanza tu mkaongeza goli nikaenda kulala kwa hasira,nikachungulia dakika ya 70 yaleyale nikagive up.

Hongereni jama,nanyi mcheze UCL sasa maana kama sikosei mwisho ni mwaka 2013/4...mkafanye wonders sasa sio mtolewe round ya 1


cc sister radika kisu cha ngariba na wengine woooote.
Nifah this is not fair......5th place reward is Europa League and 6th place ECL.......
 
Thanks God you listen tena ndani ya 90 completely!! Mlango mmoja ukifungwa unafungua mwingine!!!!.......tumekutana huko huko juuuuuuuuuuu!!!......Glory Glory Manchester United...... yaani jana nilijawa na furaha hata nikashindwa ingia humu!!.... hongereni sana mashabiki wenzangu hata kwa hili dogo tushukuru si haba tuvikombe tuwili ndani ya msimu mmoja aaaaahhhh si haabaa!!! Hope hata hivyo vingine tutafikia tu lazima tupande from glory to glory tutarudisha tu heshima iliyopotea ............Woyoooooo!!!!!!!!!
 
Umemchana vizur Asenane
 
Umekosea, sisi mara ya mwisho ni 2015. Tukiingia huwa tunafanya vizuri sio nyinyi mkiingia mwisho mtoano ukianza mnashindwa hata na Leicester City. Jitahidini mshinde Europa League mrudi ECL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…