That awkward moment when you realize Liverpool and Arsenal finished above Man Utd, but Man utd will play UCL, Arsenal will not.
Liverpool have to qualify via play off
That awkward moment when you realize Liverpool and Arsenal finished above Man Utd, but Man utd will play UCL, Arsenal will not.
Liverpool have to qualify via play off
Haaa haaa haaa na mchezaji muhimu sana kwa Mourihno hasa pale mbele pamoja na kusajili washambuliaji wa uhakika bado Fellain ana uhakika wa namba,atakuja kuathiriwa endapo Mou atakapokuwa na kikosi kipana hasa kama atasajili mawinga wawili au watatu ambapo itamlazimu kuwa na Herera na Pogba kama Viungo namba sita na nane,then namba kumi na tisa zikachezwa na washambuliaji waliokamilika.
Mabadiliko Yeyote ya kimfumo yatawaathiri Zaidi, Fellain na Lingard ambao wanafaidika na mifumo inayotumika sasa.
Lakini yatawajenga hasa Mickh ambaye atacheza kwenye namba/nafasi yake ya asili kuliko anavyochezeshwa sasa.
Poleni sana wakuu ndo life lilivyo!!! bora hata mmepata mshindi wa pili, wenzenu tungelikosa hili kombe kwanza tungepata hasara ya ma bilioni ya pesa pili tungewaongezea mashabiki machungu baada ya lile shambulio la manchester tatu tulihitaji kwenda UEFA msimu ujao na hii ndio ilikua our last chance!!
Kuna kitu lazima tijifunze! Siku zote usikae na njia moja tu! Na usikate tamaa unaposhindwa...mou alikua hapendi kushiriki na alipeleka timu ili kutimiza ratiba...ila mwisho wa siku plan B ndio imekomboa!!
Lazima tuwe na plan B ma sio kukomaa tu bila malengo! Duuuh united forever!!!